Nimeielewa hoja na ndo mana mm na ww tumetiririka kwa muda mrefu ila sema sasa pengine nimegusa roho yako. Pole.Tatizo lako hujaelewa hoja, pole sana
Wewe Unaamini mwenye sifa anakuwaje?Sijui Kama umeelewa Nimeandika nn naona unakuja na kisukari chako hapa 🤣🤣
Swali hutaki kujibu au limekuzidi umriMambo mengine acha yakupite
Mtumishi wa umma wewe acha kujikana, tena mpenda vyeo na mtu fitna.Mimi siyo mtumishi wa umma
Wewe mwenyewe na hao unaowsita sijui wakuu wa idara sijui nini huko kwenye halmashauri zenu ni upumbavu mtupu.Hili siyo jungu ni uhalisia kabisa, huko kwenye Halmashauri zetu ili uwe mkuu wa idara shart moja wapo inatakiwa uwe na Master degree,
Sasa imetokea kuna halmashauri watu wasio na sifa wanakaimu kwa muda mrefu wakati wenye sifa za kushika hizo nafasi wapo labda wangeweza kupatikana kupitia ajira portal au taratibu zingine za uteuzi.
Tunaiomba serikali yetu kuliona hili swala kimapana zaidi ili kuongeza uwajibikaji kwa hawa Watumishi wetu.
Mungu ibariki Tanzania Mungu mubariki Rais wetu [emoji1241]
Na ww umekaimu na Elimu ndogo nn🤣🤣🤣 achia kiti mzee hzo dawa zinamwsho wake🤣🤣🤣(jokes)Wewe mwenyewe na hao unaowsita sijui wakuu wa idara sijui nini huko kwenye halmashauri zenu ni upumbavu mtupu.
Wako domant kuanzia kichwani mpaka maisha ya kawaida. Kichwani 0, Ubunifu 0 na performance o. Walichofanikiwa wenhi wao ni kufuga matumbo tu na zaidi u Baltazary na ushirikina.
Kwenye halmashauri at least DED ndio wanakuwaga smart na wabunifu lakini hivyo viumbe vinautwaga wakuu wa idara huwa ni fata upepo tu.
Mi ningeshsuri hivi vyeo vifutwe waitike kwa HRO wa taasisi.