Kuna Watumishi wasiyo na sifa wanakaimu nafasi ya Wakuu wa Idara kwenye Halmashauri kwa muda mrefu wakati wenye sifa wapo

Kuna Watumishi wasiyo na sifa wanakaimu nafasi ya Wakuu wa Idara kwenye Halmashauri kwa muda mrefu wakati wenye sifa wapo

Tatizo lako hujaelewa hoja, pole sana
Nimeielewa hoja na ndo mana mm na ww tumetiririka kwa muda mrefu ila sema sasa pengine nimegusa roho yako. Pole.
Shughuli za Mkuu wa Idara au Majukumu yake kuna wakati yanaonekana kama ni marahisi lakini ndugu yangu nikuambie tu kwamba sio matamu kivile. Siku utakapobanwa na kukemewa kama mtoto mdogo na "waheshimiwa" ambao wengi wao ni std 7 na ikafika hatua wanataka kukuwekea azimio ndo utajua ulikuwa hujui. Yapo madhila mengi ya kuwa mkuu wa Idara -ukitaka nitakuambia.
 
Mkuu tembeza hela Acha kulia lia . Kuna watu wako TAMISEMI pale hizo ndo ishu zao.. mambo ya uhamisho sjui , au hayo ya ukuu wa Idara . Ni hela tuu
 
Mkuu tembeza hela Acha kulia lia . Kuna watu wako TAMISEMI pale hizo ndo ishu zao.. mambo ya uhamisho sjui , au hayo ya ukuu wa Idara . Ni hela tuu
Mimi siyo mtumishi wa umma
 
Hili siyo jungu ni uhalisia kabisa, huko kwenye Halmashauri zetu ili uwe mkuu wa idara shart moja wapo inatakiwa uwe na Master degree,

Sasa imetokea kuna halmashauri watu wasio na sifa wanakaimu kwa muda mrefu wakati wenye sifa za kushika hizo nafasi wapo labda wangeweza kupatikana kupitia ajira portal au taratibu zingine za uteuzi.

Tunaiomba serikali yetu kuliona hili swala kimapana zaidi ili kuongeza uwajibikaji kwa hawa Watumishi wetu.

Mungu ibariki Tanzania Mungu mubariki Rais wetu [emoji1241]
Wewe mwenyewe na hao unaowsita sijui wakuu wa idara sijui nini huko kwenye halmashauri zenu ni upumbavu mtupu.

Wako domant kuanzia kichwani mpaka maisha ya kawaida. Kichwani 0, Ubunifu 0 na performance o. Walichofanikiwa wenhi wao ni kufuga matumbo tu na zaidi u Baltazary na ushirikina.

Kwenye halmashauri at least DED ndio wanakuwaga smart na wabunifu lakini hivyo viumbe vinautwaga wakuu wa idara huwa ni fata upepo tu.

Mi ningeshsuri hivi vyeo vifutwe waitike kwa HRO wa taasisi.
 
Na ww umekaimu na Elimu ndogo nn🤣🤣🤣 achia kiti mzee hzo dawa zinamwsho wake🤣🤣🤣(jokes)
 
Back
Top Bottom