Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Nimeielewa hoja na ndo mana mm na ww tumetiririka kwa muda mrefu ila sema sasa pengine nimegusa roho yako. Pole.Tatizo lako hujaelewa hoja, pole sana
Shughuli za Mkuu wa Idara au Majukumu yake kuna wakati yanaonekana kama ni marahisi lakini ndugu yangu nikuambie tu kwamba sio matamu kivile. Siku utakapobanwa na kukemewa kama mtoto mdogo na "waheshimiwa" ambao wengi wao ni std 7 na ikafika hatua wanataka kukuwekea azimio ndo utajua ulikuwa hujui. Yapo madhila mengi ya kuwa mkuu wa Idara -ukitaka nitakuambia.