The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Life's brutal 😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watashindana lakini hawatashinda Bwana Mungu wa Majeshi ya Malaika Atampiganianimemmisi auntie wangu ila ninaamini hipo siku nitakutana nae. mtu mmoja aseme neno moja kwa ajli ya auntie
Pole sanaDaah!! Umenikumbusha mengi.
Baba yangu mzazi alinikataa kata kata nikiwa na mwaka mmoja, mama yangu akanipeleka kwa baba yake (babu yangu). Nimekulia huko na kusomea huko na kitu cha kushukuru niliandikishwa shule kwa jina la Babu yangu.
Sijawahi kumuona Baba kwa sura ila kwa sauti nimewahi kuongea kwa njia ya simu. Mara ya mwisho kuongea nae akiwa na dada yake ananiuliza una uhakika gani kama mimi ni Baba yako? Nilikata simu hadi leo sijawahi hata kuhangaika kumtafuta.
Nachojua tu kwao ni KAMACHUMU anaitwa REVOCATUS KAZINJA
Ndivyo inavyoonekana, ukizingatoa headingNatabiri Kaka Dav lazima ale mzigo alaf ale kona
AMENInauma Sana ,aunt wherever you are tafadhali rudi tena Lisa anakupenda Sana
AMENWatashindana lakini hawatashinda Bwana Mungu wa Majeshi ya Malaika Atampigania
asante sana kipenzi nina amani kabisa. je unaweza kutwambia kupitia hayo umejifunza nini?Dadakidoti asante sana kwa simulizi nzuri ya kusisimua na kufundisha, na pole kwa yote uliyopitia hakika kikombe chako ni kigumu kukinywa.
I hope sasa una amani na unafurahia maisha.
Sitoruhusu damu yangu ilelewe na mtu mwingine.asante sana kipenzi nina amani kabisa. je unaweza kutwambia kupitia hayo umejifunza nini?
Tunasubiri♥️vipenzi samahanini leo nimetingwa sana ila nitajitahidi niweke hata ep moja. natamani kumaliza ila ndo hivo muda unakuwa sio rafiki kwangu. NAWAPENDA