Kuna wengine hatujui tulipokosea

Kuna wengine hatujui tulipokosea

Daah!! Umenikumbusha mengi.

Baba yangu mzazi alinikataa kata kata nikiwa na mwaka mmoja, mama yangu akanipeleka kwa baba yake (babu yangu). Nimekulia huko na kusomea huko na kitu cha kushukuru niliandikishwa shule kwa jina la Babu yangu.

Sijawahi kumuona Baba kwa sura ila kwa sauti nimewahi kuongea kwa njia ya simu. Mara ya mwisho kuongea nae akiwa na dada yake ananiuliza una uhakika gani kama mimi ni Baba yako? Nilikata simu hadi leo sijawahi hata kuhangaika kumtafuta.

Nachojua tu kwao ni KAMACHUMU anaitwa REVOCATUS KAZINJA
Pole sana
 
Dadakidoti asante sana kwa simulizi nzuri ya kusisimua na kufundisha, na pole kwa yote uliyopitia hakika kikombe chako ni kigumu kukinywa.

I hope sasa una amani na unafurahia maisha.
 
Back
Top Bottom