Kujua nini kanisa hulijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha kuwa kama mbwa mkuu.
Kwani uislam sio jina alilolipanga huyo sokomoko muhamad[emoji23][emoji23]???mbona pia husema Yesu na adam ni waislam ilhali hawaujui hata huo uislam ni kitu gani???
Sasa wewe unawashwa wapi nikukune,fafanua.
Kwamba huna uthibitisho wa yesu kuingia kanisani?Kanisa ni nini??unatakiwa ulijue ndipo ujiulize kama yesu aliingia kanisani au laah.
Kwamba huna uthibitisho wa yesu kuingia kanisani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kifupi maswali mawili huna majibu nayoHilo ni sharti la jibu mkuu lazima uandaliwe kupokea jibu,otherways itakuwa ni sawa na kutupa mahindi kwenye kokoto[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inamaana Yesu hajawahi kuingia kanisani lol kwel hapo hamna diniKanisa ni nini wewe zagamunda??mbona unapenda kuparamia usivyovielewa[emoji23]
Kifupi maswali mawili huna majibu nayo
Waite wenzio
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inamaana Yesu hajawahi kuingia kanisani lol kwel hapo hamna dini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
uwe unasoma na kujiridhisha unachoamini na kukitetea. Uislam ni dini ya juzi tu. Soma historia ya mwanzo wa dini hiyo haikuwepo wakati dunia inaumbwaHv kama siku inapita bila kuongelea vibaya uislam unahisi utabanduka au?!kila siku unatunga story za kubumba bumba tu ,acha chuki uislam ulikuwepo tangia dunia inaumbwa na utakuwepo mpaka mwishi wa dunia hii inshallah...
uwe unasoma na kujiridhisha unachoamini na kukitetea. Uislam ni dini ya juzi tu. Soma historia ya mwanzo wa dini hiyo haikuwepo wakati dunia inaumbwa
Ushapakwa wanja na kunyolewa nywele?
Hao masheikh hua elimu dunia wengi ni ndogo ila nafikiri wanakua na agenda ya kujenga chuki wanatekeleza kwa kuongozwa na wenye nia ya kuleta mgawanyiko wa raia.Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.
Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.
Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.
Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.
Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Ona dini hii inavyo jithibitisha kuhusuNiwaite wanini kwani hapa si uko wewe na waislam wengine ambao hamna uwezo wa kufikiri kama alivyo mtume wenu??
Nawaweza kabisa tena alikaneni.
Dini ni nini??
Hujamaliza pia hajawahi kuingia kanisani unalijua hilo kanisa ni kitukoYesu pia hajawahi kuwa mkristo unalijua hilo??ila ndiye kristo mwenyewe.
Haya kilundu umepata point mpaka hapo??
Ona dini hii inavyo jithibitisha kuhusu
Quran 3 :19 19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.
naona unahaingaika sana
Haya thibitisha wewe kama ukristo ni Dini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yeremia 3 14Ushapakwa wanja na kunyolewa nywele?
Kwa hiyo wewe huna uthibitisho wa katika dini yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikikuita mpumbavu uwe unakubali[emoji23][emoji23]
Haya ni maandishi ndani ya quran,aliyoisoma kwa waandishi mwenye nia hiyo yaandikwe,leta chanzo nje ya qurani kuthibitisha hilo.
Si ni muhamad mwenyewe anayedai kakutana na jibril,nani mwingine ana uthibitisho kwa madai yake??
Hujamaliza pia hajawahi kuingia kanisani unalijua hilo kanisa ni kituko
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wewe huna uthibitisho wa katika dini yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani mpumbavu hapo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app