Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Acha kuwa kama mbwa mkuu.

Kwani uislam sio jina alilolipanga huyo sokomoko muhamad[emoji23][emoji23]???mbona pia husema Yesu na adam ni waislam ilhali hawaujui hata huo uislam ni kitu gani???

Sasa wewe unawashwa wapi nikukune,fafanua.

Sikulaumu itakuwa akili yako ni ya kuku , yaani nimekujibu mara tatu ukristo ni kitu gani basi . nakujibu mara ya nne

Ukristo ni jina la kupanga walilolitumia wapagani wa Antokia Matendo 11:25

Hulaumiki labda ndio nyinyi Bwana yesu alisema

wjdgay4.jpg
 
Hv kama siku inapita bila kuongelea vibaya uislam unahisi utabanduka au?!kila siku unatunga story za kubumba bumba tu ,acha chuki uislam ulikuwepo tangia dunia inaumbwa na utakuwepo mpaka mwishi wa dunia hii inshallah...
uwe unasoma na kujiridhisha unachoamini na kukitetea. Uislam ni dini ya juzi tu. Soma historia ya mwanzo wa dini hiyo haikuwepo wakati dunia inaumbwa
 
uwe unasoma na kujiridhisha unachoamini na kukitetea. Uislam ni dini ya juzi tu. Soma historia ya mwanzo wa dini hiyo haikuwepo wakati dunia inaumbwa

Wanasema dini ya kwanza ya adam na manabii wote ni uislam,lakini muhamad ndiye muislam wa kwanza na uislam una miaka 1400+ mpaka sasa[emoji28][emoji28]

Ukikosa akili umekosa kila kitu.
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Hao masheikh hua elimu dunia wengi ni ndogo ila nafikiri wanakua na agenda ya kujenga chuki wanatekeleza kwa kuongozwa na wenye nia ya kuleta mgawanyiko wa raia.
Sote tuna dini lakini umoja ni lazima kwa mstakabali wa taifa. Kwa hivyo yale yanayotutenganisha inabidi kutoyapa ulazima.
 
Niwaite wanini kwani hapa si uko wewe na waislam wengine ambao hamna uwezo wa kufikiri kama alivyo mtume wenu??

Nawaweza kabisa tena alikaneni.

Dini ni nini??
Ona dini hii inavyo jithibitisha kuhusu
Quran 3 :19 19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.

naona unahaingaika sana
Haya thibitisha wewe kama ukristo ni Dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nikikuita mpumbavu uwe unakubali[emoji23][emoji23]

Haya ni maandishi ndani ya quran,aliyoisoma kwa waandishi mwenye nia hiyo yaandikwe,leta chanzo nje ya qurani kuthibitisha hilo.

Si ni muhamad mwenyewe anayedai kakutana na jibril,nani mwingine ana uthibitisho kwa madai yake??
 
Kwa hiyo wewe huna uthibitisho wa katika dini yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani mpumbavu hapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom