professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Nipe andiko hua sipendi maneno kama ya mlevi hapaNimekwambia jifunze maana ya kanisa.
Ili kukuelimisha maana naona maji marefu,kanisa sio jengo.kanisa ni mkusanyiko wa kumwabudu Mungu.
Sina uthibitisho wa ukristo au uthibitisho wa ukristo kuwa dini[emoji16][emoji16]
.
Nipe andiko hua sipendi maneno kama ya mlevi hapa
Kwa hiyo wakati wa yesu watu walikuwa hawaabudu au
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wapi humo ona Yesu alipo kua akiingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio hapo sasa ujiulize walikuwa hawaabudu??kama walikuwa wanaabudu ndipo humo Yesu aliingia kuabudu nao.
Kinacho baki sasa kwa upande wako ni porojo tu kwa hiyo sina muda na weweUmemalizana na nani weww[emoji1][emoji1]
Bado kazi ya kumswalia mtume mpaka asamehewe madhambi.
Wapi humo ona Yesu alipo kua akiingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Luka 6:6
Ikawa siku nyingine ya Sabato, Yesu aliingia ndani ya sinagogi na akawa anafundisha.
Aya twambie nani wewe kakuongopea kaingia kanisani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kinacho baki sasa kwa upande wako ni porojo tu kwa hiyo sina muda na wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Najua ndio maana nime nukuu kifupi hakuna pia sehemu Yesu kaingia kanisani wala kwenye jengo linalo itwa kanisaWe jamaa ni kalio sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekwambia wapi aliingiza kanisanai??umeelewa hata ulichonukuu kweli??
Hasara ipi wakati hata maandiko ya biblia yako hunaUtapataje kuelimika sasa kama unakataa elimu unayopewa??
Utabaki mpumbavu mpaka lini??ni hasara kwako na nafsi yako ndugu yangu.
maandika yako mengi nikitoa utakimbia uzi, tunyukane bila maandiko inatosha
Najua ndio maana nime nukuu kifupi hakuna pia sehemu Yesu kaingia kanisani wala kwenye jengo linalo itwa kanisa
Kwa heri
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapo pia nime malizaNimekwambia wapi aliingiza kanisani
Huna maandiko mengi ndio mdudu ganimaandika yako mengi nikitoa utakimbia uzi, tunyukane bila maandiko inatosha
maandika yako mengi nikitoa utakimbia uzi, tunyukane bila maandiko inatosha
Unajitekenya mwenyewe una cheka mwenyeweUna edit text ili umfurahishe Allah na mtume wake sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Taqbir
hawa unaowatolea mifano mibovu ni waliopotoka, hawa hawakuijua kweli walisombwa na kila upepo unaovuma. Hawa si wakristo ni wapotokaji na walipaswa kuhurumiwa kwa kutekwa na mafundisho fekiNi wakristo wapi unawaongelea ambao huwezi kuwaburuza sababu wana akili timamu ? Hawa wanaolipa pesa kanisani kwa "manabii" ili waende mbinguni ? Au wale waliokua airport wakisubiri ndege iwachukue kwenda Iraq kuhubiri injili ? Wapi hao mkuu au wale waliofungiwa wakachomwa moto na mchungaji wao kwakua alipata ufunuo toka kwa roho wa bwana kuwa mwaka 2000 ni mwisho wa dunia ? Ama huwenda unawazungumzia wale wana shangilia 'Ameeeeen' kwakua kuna mwanamke amemchora tattoo 'nabii' wao mgongoni kwake ?