Kuna wimbi kubwa sana la Askari Polisi kutengwa na jamii huku mitaani

Good!

Na bado.

Mi mwenyewe kuna demu mmoja polisi tulikuwa tuna_____, lakini imenibidi nivunje uhusiano.

Sitaki urafiki wala mazoea na polisi yeyote yule.

Na walivyo wapiga mizinga, hapa nilipo nina majibu yao mujarabu kabisa yanayowasubiri endapo watathubutu kunipiga mizinga.
 
Kazi ya washkaji ni ya lawama sana, mazuri Yao ni mengi mno. Pia mabaya yapo hatuwezi kulikataa hili. Wengine ni watu safi pengine hawawezi tu kupinga amri kwa sauti kubwa. Lakini hao tumetoka nao kitaa kimoja. Anyway washkaji wamekufa sana kwenye machafuko ya juzi kati ila huwezi sikia watu wakikumbuka anguko lao. Hata klipu zao wakipigwa na kufa hazijasambazwa sana na wapo kimyaa! Au ndo kusema wao sio watu kuinjoy haki za binadamu?
 
Father wamekukodi au nawewe ni mmoja wao?

Kama kuna watu wema na wazalendo huko policcm umesikia wangapi wameacha kazi kuonyesha hawafurahishwa na hili la mauaji waliyoyafanya?

Pale Geita aliyekuwa anaendesha operation ya kuua ameishia kunywa sumu maana baada ya yote amekuja kugundua kuwa waliua ndg zake3 wa karibu na maiti hazionekani na hajui ziko wapi!
 
Kazi ya washkaji ni ya lawama sana, mazuri Yao ni mengi mno. Pia mabaya yapo hatuwezi kulikataa hili. Wengine ni watu safi pengine hawawezi tu kupinga amri kwa sauti kubwa. Lakini hao tumetoka nao kitaa kimoja. Anyway washkaji wamekufa sana kwenye machafuko ya juzi kati ila huwezi sikia watu wakikumbuka anguko lao. Hata klipu zao wakipigwa na kufa hazijasambazwa sana na wapo kimyaa! Au ndo kusema wao sio watu kuinjoy haki za binadamu?
Wakiamua kujithamini na kuondokana na yote haya ni swala la sekunde tu.
Uwezo wanao, sababu wanazo, ila tu ubinafsi na kuendekeza njaaa. If&*%£ hate them nikiwaona nasikia kichefu chefu!
 
Good!

Na bado.

Mi mwenyewe kuna demu mmoja polisi tulikuwa tuna_____, lakini imenibidi nivunje uhusiano.

Sitaki urafiki wala mazoea na polisi yeyote yule.

Na walivyo wapiga mizinga, hapa nilipo nina majibu yao mujarabu kabisa yanayowasubiri endapo watathubutu kunipiga mizinga.
Sasa wewe uko ng'ambo huyu polisi umempata wapi? Au wa huko?
 
Nilistuka nilijua wametengwa na Mungu, kumbe ni nyie nyumbu wa lissu na TEC?!!!!!
Mkuu Waulize wasanii wa bongo fleva wanavyoumia na kuomboleza kiuchumi baada ya kutengwa na nyumbu wa Lissu na TEC.

Fanya urafiti kwenye sector ya utalii inavochechemea baada ya TEC na nyumbu wa Lissu kuuliwa na serikali ya mzanzibar,Samia the butcher.

Ni hatari sana
 
Kazi ya washkaji ni ya lawama sana, mazuri Yao ni mengi mno. Pia mabaya yapo hatuwezi kulikataa hili. Wengine ni watu safi pengine hawawezi tu kupinga amri kwa sauti kubwa. Lakini hao tumetoka nao kitaa kimoja. Anyway washkaji wamekufa sana kwenye machafuko ya juzi kati ila huwezi sikia watu wakikumbuka anguko lao. Hata klipu zao wakipigwa na kufa hazijasambazwa sana na wapo kimyaa! Au ndo kusema wao sio watu kuinjoy haki za binadamu?
Kama wao wenyewe wanashindwa kujipambanua hata tukifanya sisi ni bure, ipo wazi uhusiano wao na jamii kwa sasa unayumba.
 
Wakiamua kujithamini na kuondokana na yote haya ni swala la sekunde tu.
Uwezo wanao, sababu wanazo, ila tu ubinafsi na kuendekeza njaaa. If&*%£ hate them nikiwaona nasikia kichefu chefu!
Inasikitisha sana mkuu, binafsi sitaki ukaribu nao kabisa huwa hawana msaada.
 
Kuna mgahawa mmoja huwa tunaendaga kula mchana, nilifika nilikuta watu wengi wapo lakini wote walijaa meza zingine ila kuna meza moja alikua askari hakuna alieenda kukaa ile meza, alikua pekeyake, alitia huruma sana
 
Good!

Na bado.

Mi mwenyewe kuna demu mmoja polisi tulikuwa tuna_____, lakini imenibidi nivunje uhusiano.

Sitaki urafiki wala mazoea na polisi yeyote yule.

Na walivyo wapiga mizinga, hapa nilipo nina majibu yao mujarabu kabisa yanayowasubiri endapo watathubutu kunipiga mizinga.
We mzee, unahasira hadi na polisi wa marekani wakati polisi mapopomo ni wa huku Tanzania?!
 
Back
Top Bottom