Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Ukoo wetu hakuna..Kuna brother angu mmoja alienda huko baada ya kupata Div 4 ya point 28.hivi kuna ukoo hauna ndugu ambaye sio askaRI POLISI AU JESHI
Babu yetu Ali laani hiyo kazi ya upolisi.. brother angu alifanya kazi miaka 10 Ali ingia na Raisi akatoka na Raisi..
Ali mpiga OCD wake masumbwi ndipo akafukuzwa alikua na bifu..so akapewa zengwee akafukuzwa kazi...alipoteza kazi, mke, Kila kitu mpaka Leo JESHI LIMEMPA ULEMAVU HAWEZI KAZI YOYOTE ZAIDI YA KUSAFIRI SAFIRI HAPA NA PALE KWA NDUGU MBALI MBALI..
Dhuluma, wizi, utapeli, rushwa, kubambikia makosa watu, Hila, uongo haya yote alinisimulia uharamia walio ufanya kudhulumu mifugo wamasai kubambika kesi usaliti na Kila kitu...
Marehemu Babu yangu Ali acha laana kwenye ukoo wetu mtu YEYOTE kwenye ukoo asiwe POLICE