Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Zipo kooo ambazo ni hazina watu hukohivi kuna ukoo hauna ndugu ambaye sio askaRI POLISI AU JESHI
Zipo kooo ambazo ni hazina watu hukohivi kuna ukoo hauna ndugu ambaye sio askaRI POLISI AU JESHI
Nani anaejali Nani ni Nani humu ndan wakati wote ID ni fake!? Mfano Tu, Kwani wewe unajua Mimi ni Nani humu ndani!? Kama hujui nini kinafanya uamini anachosema mtu mwengine na usiamini ninachosema Mimi as long as hatujuani wote humu. Umeona eeeh!?Sio kila unaemuona anaandika huku ni mwenzako.. itoshe kusema hivyo jitafakari kabla ya kujiuliza au kuuliza
Exactly 💯Kuwa na ndugu ambaye ni askari polisi au jeshi kwenye hii nchi kwa sasa ni mkosi! Ni laana! Usiombee ikutokee. Na kama unaye, jitahidi ukae naye mbali kabla damu za watu hazijaanza kuwalilia kwenye ukoo wenu wote.
Labda niulize tu kuhusiana na hiyo sentensi yako ya 'hawawezi kupinga amri'Kazi ya washkaji ni ya lawama sana, mazuri Yao ni mengi mno. Pia mabaya yapo hatuwezi kulikataa hili. Wengine ni watu safi pengine hawawezi tu kupinga amri kwa sauti kubwa. Lakini hao tumetoka nao kitaa kimoja. Anyway washkaji wamekufa sana kwenye machafuko ya juzi kati ila huwezi sikia watu wakikumbuka anguko lao. Hata klipu zao wakipigwa na kufa hazijasambazwa sana na wapo kimyaa! Au ndo kusema wao sio watu kuinjoy haki za binadamu?
Tofautisha amri za kijeshi nahiyo uisemayo.Labda niulize tu kuhusiana na hiyo sentensi yako ya 'hawawezi kupinga amri'
Hivi mbona kuna amri za kutosha kuwazuia wasidai wala kupokea rushwa lakini wao ndio videdea kwa rushwa?!
Kama mnafahamu maskani kwao na kama wanakaa kwenye nyumna zao binafsi, mwagia petroli kisha choma moto usiku wa manane waungue wafie ndani ili nao wapate uchungu kwa kuwa na wao waliowachoma ndugu zetu kwenye tanuru la saruji Sao Hill wakiwa hai.Hapa mtaani kwetu tayari tumeshawatenga watatu, tumedhamiria kutoshirikiana nao kwa jambo lolote.
Wengi tu Kuna sista mmoja pale mwanza alichomewa kwa gari. Namfahamu mamakeHivi kuna polisi ameuawa kweli au propaganda tu?
ndio ukoo wetu wa nkya hatuna polisi na ni marufuku kuwa polishivi kuna ukoo hauna ndugu ambaye sio askaRI POLISI AU JESHI
TEC inawatoa kamasi sanaNilistuka nilijua wametengwa na Mungu, kumbe ni nyie nyumbu wa lissu na TEC?!!!!!
kwetu hiyo kazi ililaaniwa kabisa, sawa na ilivyolaaniwa kuvuta bangi, yaani iliandikwa kwa maandishi, unaelezwa toka mtoto kua kazi ya polisi ni ya laana, ukishakua unaoneshwa unasoma mwenyewe, kwahiyo inshort ukoo mzima labda kuna wajeda na ile idara nyingine, japo hata hao waliingia kama professionalshivi kuna ukoo hauna ndugu ambaye sio askaRI POLISI AU JESHI
SafiHapa mtaani kwetu tayari tumeshawatenga watatu, tumedhamiria kutoshirikiana nao kwa jambo lolote.
HongeraMwanangu wa utotoni ni police nilisoma nae kuanzia la kwanza mpaka form four akafeli akaenda upolice mimi nikaendelea tuliendelea kuwasiliana sana tuu yupo tarime huko ila mara ya mwisho niliongea nae tar 2 nilimuuliza kwanini mnaua watu hivi bila hatia nakumbuka alinijibu nanukuu " Mmeyataka wenyewe kuandamana, sisi tuliapa tuliapa kuilinda serikali tuu" nakumbuka nilimwambia " MAKU WEWE" nikakata simu toka siku hiyo simu zake sishiki sms sijibu sasa hivi hanitafuti naona kajiongeza sitaki ushkaji nae tena.
KaribuniHii kampeni inabidi ieende nchi nzima sasa
Punguza makasiriko. TEC hawakuwatuma mteke watu, TEC ndo tumaini lililobaki kwa watanganyika maana wanasema ukweli unaowakera. Mashehe ubwabwa wanatetea ujinga tuHujielewi we simbilisi, kwa wenye akili inajitoa kamasi yenyewe kwa udini wao.
Subiri tu, utaona.Punguza makasiriko. TEC hawakuwatuma mteke watu, TEC ndo tumaini lililobaki kwa watanganyika maana wanasema ukweli unaowakera. Mashehe ubwabwa wanatetea ujinga tu
Ndo kitu pekee unachoweza!? Keyboard warrior maneno shazi vitendo zero ukikaa mtandaoni unajiona nawew Che Guevara. Shambulia hoja sio mtoa hoja na huo ndo msingi wa majadiliano ili uzi usogee👎 nyie watu huko bongo mnaishi vipi!?Usikate kulia kunja kushoto fuata round about kisha elekea kwenye barabara ya kujichuja... najua ushaolewa km hujaolewa sema tena
Hapa mtaani kwetu tayari tumeshawatenga watatu, tumedhamiria kutoshirikiana nao kwa jambo lolote.