Kuna wimbi kubwa sana la Askari Polisi kutengwa na jamii huku mitaani

Kuna wimbi kubwa sana la Askari Polisi kutengwa na jamii huku mitaani

Ndo kitu pekee unachoweza!? Keyboard warrior maneno shazi vitendo zero ukikaa mtandaoni unajiona nawew Che Guevara. Shambulia hoja sio mtoa hoja na huo ndo msingi wa majadiliano ili uzi usogee👎 nyie watu huko bongo mnaishi vipi!?
Mimi nimeshaaga je wewe umeaga? Nilishakwambia kule juu karudie kusoma utanielewa..
 
Mimi nimeshaaga je wewe umeaga? Nilishakwambia kule juu karudie kusoma utanielewa..
humu huitaji kumuelewa mtu mana hawez kukusaidia kwa lolote. Usihangaike mtu akuelewe sababi hakuna anaejali kitu humu
 
kwetu hiyo kazi ililaaniwa kabisa, sawa na ilivyolaaniwa kuvuta bangi, yaani iliandikwa kwa maandishi, unaelezwa toka mtoto kua kazi ya polisi ni ya laana, ukishakua unaoneshwa unasoma mwenyewe, kwahiyo inshort ukoo mzima labda kuna wajeda na ile idara nyingine, japo hata hao waliingia kama professionals
Kwa hiyo wewe unahisi idara ile haikuua? Mimi nawafahamu wakutoka ile idara na walikuwa barabarani na silaha nzito wakifanya yao
 
Father wamekukodi au nawewe ni mmoja wao?

Kama kuna watu wema na wazalendo huko policcm umesikia wangapi wameacha kazi kuonyesha hawafurahishwa na hili la mauaji waliyoyafanya?

Pale Geita aliyekuwa anaendesha operation ya kuua ameishia kunywa sumu maana baada ya yote amekuja kugundua kuwa waliua ndg zake3 wa karibu na maiti hazionekani na hajui ziko wapi!
Hebu fafanua kidogo hii ya Geita mkuu
 
Kuwatenga polisi na ccm haitoshi tunahitaji zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom