Kuna wimbi kubwa sana la Askari Polisi kutengwa na jamii huku mitaani

hivi kuna ukoo hauna ndugu ambaye sio askaRI POLISI AU JESHI
Ukoo wetu hakuna..Kuna brother angu mmoja alienda huko baada ya kupata Div 4 ya point 28.

Babu yetu Ali laani hiyo kazi ya upolisi.. brother angu alifanya kazi miaka 10 Ali ingia na Raisi akatoka na Raisi..

Ali mpiga OCD wake masumbwi ndipo akafukuzwa alikua na bifu..so akapewa zengwee akafukuzwa kazi...alipoteza kazi, mke, Kila kitu mpaka Leo JESHI LIMEMPA ULEMAVU HAWEZI KAZI YOYOTE ZAIDI YA KUSAFIRI SAFIRI HAPA NA PALE KWA NDUGU MBALI MBALI..

Dhuluma, wizi, utapeli, rushwa, kubambikia makosa watu, Hila, uongo haya yote alinisimulia uharamia walio ufanya kudhulumu mifugo wamasai kubambika kesi usaliti na Kila kitu...

Marehemu Babu yangu Ali acha laana kwenye ukoo wetu mtu YEYOTE kwenye ukoo asiwe POLICE
 
Anyway washkaji wamekufa sana kwenye machafuko ya juzi kati ila huwezi sikia watu wakikumbuka anguko lao.
Wameuwana wenyewe kuna wale waliokua wanawapinga wenzao kwamba msiue mnafanya kinyume na sheria zinavyosema ndio wameuawa kwa hio wameuana wenyewe kwa wenyewe hakuna muandamanaji aliebeba bunduki wale polisi wote waliokufa wamepigwa risasi na wenzao hakuna muandamanaji aliepiga risasi polisi sababu hawakua na silaha hata moja ya moto... na polisi wamekufa kwa kupigwa risasi
 
Be blessed Nigga πŸ‘
 
Kuna upande uko sahihi lakini kuna eneo kubwa hao jamaa Wana roho mbaya sana kuna clip Moja niliona wamemshusha jamaa mmoja kwenye gari lao wakamwambia akimbie wakati anakimbia wakampiga risasi ya mgongo akaanguka akafa Sasa hapa utamlaumu boss wao aliyekuwa ofisini kweli? Kulikua kuna haja Gani ya kumuua mtu ambaye alishakimbia kuokoa maisha yake??
 
Kaka kweli askari ni miyeyusho sana ila sio wote bro wapo wema japo ni wa kujipa muda kuwapata
 
MIMI KWA SASA NIKIWAONA POLISI NAWAPA HELA YA SODA KWA KAZI NZURI WALIYOIFANYA KWENYE MAANDAMANO YALIYOFANYWA NA WAHUNI WANAOJIITA GENZ
 
Katikati ya kundi la Askari polisi Kuna watu wa aina mbali mbali Kuna ambao wametoka shule tu wakasukumiwa kule, Kuna ambao Wameshapigwa na jua la misimu yote ya maisha, Kuna ambao wanahofu ,ya Mungu na kuna ambao wenyewe wanapokea Amri Moja tu. Hakuna Depo ya polisi inayotoa watu walioungua, hawana Ugumu huo wa kozi ni Baadhi tu ya watoto.
 
Humo Kuna point kubwa mfano Mimi brother alimaliza four hapo hapo akaingia hivyo hakuwai ku hustle kabisa..

Hope ndio maana alifukuzwa sababu ya kupigana masumbwi na OCD wake..
 
Hivi kuna polisi ameuawa kweli au propaganda tu?
 
Bro umejuaje kama hakuna muandamanaji alikuwa na silaha? Wakati maandamano uliyaskia Tu mtandaoni!? Eeh ulikwepo Kila mahali Tz nzima? Kama hapana umejuaje yote hayo!?
 
Bro umejuaje kama hakuna muandamanaji alikuwa na silaha? Wakati maandamano uliyaskia Tu mtandaoni!? Eeh ulikwepo Kila mahali Tz nzima? Kama hapana umejuaje yote hayo!?
Sio kila unaemuona anaandika huku ni mwenzako.. itoshe kusema hivyo jitafakari kabla ya kujiuliza au kuuliza
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…