Kuna wimbi kubwa sana la Askari Polisi kutengwa na jamii huku mitaani

Sio kila unaemuona anaandika huku ni mwenzako.. itoshe kusema hivyo jitafakari kabla ya kujiuliza au kuuliza
Nani anaejali Nani ni Nani humu ndan wakati wote ID ni fake!? Mfano Tu, Kwani wewe unajua Mimi ni Nani humu ndani!? Kama hujui nini kinafanya uamini anachosema mtu mwengine na usiamini ninachosema Mimi as long as hatujuani wote humu. Umeona eeeh!?
 
Na wanapata shida sana mtaani wala sio uongo,
Tuna family friends ni Polisi na ana mtoto wake ni Traffic, toka Tar 29, unaambiwa mtaan kwake watu hawana habari nae, kifupi ni wanamtenga.

Bas familia ina sonona tyuuh.
 
Labda niulize tu kuhusiana na hiyo sentensi yako ya 'hawawezi kupinga amri'
Hivi mbona kuna amri za kutosha kuwazuia wasidai wala kupokea rushwa lakini wao ndio videdea kwa rushwa?!
 
Labda niulize tu kuhusiana na hiyo sentensi yako ya 'hawawezi kupinga amri'
Hivi mbona kuna amri za kutosha kuwazuia wasidai wala kupokea rushwa lakini wao ndio videdea kwa rushwa?!
Tofautisha amri za kijeshi nahiyo uisemayo.
 
Hapa mtaani kwetu tayari tumeshawatenga watatu, tumedhamiria kutoshirikiana nao kwa jambo lolote.
Kama mnafahamu maskani kwao na kama wanakaa kwenye nyumna zao binafsi, mwagia petroli kisha choma moto usiku wa manane waungue wafie ndani ili nao wapate uchungu kwa kuwa na wao waliowachoma ndugu zetu kwenye tanuru la saruji Sao Hill wakiwa hai.
 
hivi kuna ukoo hauna ndugu ambaye sio askaRI POLISI AU JESHI
kwetu hiyo kazi ililaaniwa kabisa, sawa na ilivyolaaniwa kuvuta bangi, yaani iliandikwa kwa maandishi, unaelezwa toka mtoto kua kazi ya polisi ni ya laana, ukishakua unaoneshwa unasoma mwenyewe, kwahiyo inshort ukoo mzima labda kuna wajeda na ile idara nyingine, japo hata hao waliingia kama professionals
 
Mwanangu wa utotoni ni police nilisoma nae kuanzia la kwanza mpaka form four akafeli akaenda upolice mimi nikaendelea tuliendelea kuwasiliana sana tuu yupo tarime huko ila mara ya mwisho niliongea nae tar 2 nilimuuliza kwanini mnaua watu hivi bila hatia nakumbuka alinijibu nanukuu " Mmeyataka wenyewe kuandamana, sisi tuliapa tuliapa kuilinda serikali tuu" nakumbuka nilimwambia " MAKU WEWE" nikakata simu toka siku hiyo simu zake sishiki sms sijibu sasa hivi hanitafuti naona kajiongeza sitaki ushkaji nae tena.
 
Hongera
 
Hujielewi we simbilisi, kwa wenye akili inajitoa kamasi yenyewe kwa udini wao.
Punguza makasiriko. TEC hawakuwatuma mteke watu, TEC ndo tumaini lililobaki kwa watanganyika maana wanasema ukweli unaowakera. Mashehe ubwabwa wanatetea ujinga tu
 
Usikate kulia kunja kushoto fuata round about kisha elekea kwenye barabara ya kujichuja... najua ushaolewa km hujaolewa sema tena
Ndo kitu pekee unachoweza!? Keyboard warrior maneno shazi vitendo zero ukikaa mtandaoni unajiona nawew Che Guevara. Shambulia hoja sio mtoa hoja na huo ndo msingi wa majadiliano ili uzi usogee👎 nyie watu huko bongo mnaishi vipi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…