AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Mimi nimeshaaga je wewe umeaga? Nilishakwambia kule juu karudie kusoma utanielewa..Ndo kitu pekee unachoweza!? Keyboard warrior maneno shazi vitendo zero ukikaa mtandaoni unajiona nawew Che Guevara. Shambulia hoja sio mtoa hoja na huo ndo msingi wa majadiliano ili uzi usogee👎 nyie watu huko bongo mnaishi vipi!?
humu huitaji kumuelewa mtu mana hawez kukusaidia kwa lolote. Usihangaike mtu akuelewe sababi hakuna anaejali kitu humuMimi nimeshaaga je wewe umeaga? Nilishakwambia kule juu karudie kusoma utanielewa..
Mm kwetu marufukuhivi kuna ukoo hauna ndugu ambaye sio askaRI POLISI AU JESHI
Faza Nelly wa X Plastaz unajua alipigwa kisu ila sababu ya kupigwa kisu ni kutokubari ujinga wa mtu mmoja asiekua na akili muonevu akaamua kumkabiri, wewe unamuishi father Nelly kweli?humu huitaji kumuelewa mtu mana hawez kukusaidia kwa lolote. Usihangaike mtu akuelewe sababi hakuna anaejali kitu humu
Na wewe thibitisha muamdamanaji aliyekuwa na silaha ya moto fala wewe.Bro umejuaje kama hakuna muandamanaji alikuwa na silaha? Wakati maandamano uliyaskia Tu mtandaoni!? Eeh ulikwepo Kila mahali Tz nzima? Kama hapana umejuaje yote hayo!?
Kwa hiyo wewe unahisi idara ile haikuua? Mimi nawafahamu wakutoka ile idara na walikuwa barabarani na silaha nzito wakifanya yaokwetu hiyo kazi ililaaniwa kabisa, sawa na ilivyolaaniwa kuvuta bangi, yaani iliandikwa kwa maandishi, unaelezwa toka mtoto kua kazi ya polisi ni ya laana, ukishakua unaoneshwa unasoma mwenyewe, kwahiyo inshort ukoo mzima labda kuna wajeda na ile idara nyingine, japo hata hao waliingia kama professionals
Kwamba watu wanaokiuka viapo vyao na maagizo ya wakubwa wao kuhusiana na rushwa, wanalazimika kutii amri haramu kwa kisingizio kuwa ni amri za kijeshi!Tofautisha amri za kijeshi nahiyo uisemayo.
Hebu fafanua kidogo hii ya Geita mkuuFather wamekukodi au nawewe ni mmoja wao?
Kama kuna watu wema na wazalendo huko policcm umesikia wangapi wameacha kazi kuonyesha hawafurahishwa na hili la mauaji waliyoyafanya?
Pale Geita aliyekuwa anaendesha operation ya kuua ameishia kunywa sumu maana baada ya yote amekuja kugundua kuwa waliua ndg zake3 wa karibu na maiti hazionekani na hajui ziko wapi!
"He who accuses must prove" Sheria inasema hivyo duniani koteđź–•Na wewe thibitisha muamdamanaji aliyekuwa na silaha ya moto fala wewe.