Habari, ndugu mteja.Ukimaliza kufanya Wiring, ili upate mita ya Tanesco,unatakiwa utumie wakala( Mkandarasi ) ili kuingiza maombi yako kwenye mfumo!
Wizi hawa Wakandarasi au Mawakala wanachaji kiasi chochote cha pesa,hawatoi risiti yoyote kwa mteja! Huu ni wizi na Tanesco wanaelewa kuwa Wakandarasi wanaumiza wananchi lakini hawatoi Muongozo!
Waziri Mkuu anapopendekeza tuwekewe umeme kwa Tzs 27,000 aelewe kuwa hela hizo hata kumlipa mkandarasi tu zinafika mpakaTzs 80,000!
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Swali rahisi ni kua mteja anaweza kuingia online akaomba umeme yeye mwenyewe bila kutumia wakala?Habari, ndugu mteja.
Kwanza ni vizuri kuelewa wiring haipo kwenye wajibu wa TANESCO, huo niwajibu wako kuhakikisha nyumba yako ina mfumo utakaowezesha TANESCO kukuunganisha na umeme.
Aidha, gharama za kufanya wiring zinatofautiana kwa nyumba moja na nyingine kulingana na ukubwa. Kwa kawaida mkandarasi aliyefanya wiring ndiyo anakupa pia mchoro ambalo ni takwa muhimu.
Pia kwa mteja ambaye Anatumia umeta kwake hahitaji wiring. Hivyo ni vizuri kuchagua mkandarasi kulingana na mahitaji yako na kuelewa dhana ya kuwa na mkandarasi.
Siyo sahihi kila jambo limhusu TANESCO mengine yapo upande wenu Kama wateja.
Asante. ^FL
Mimi nadhani ili kuondoa hii kero inabidi baada ya wiring mteja atume maombi TANESCO halafu anapokuja surveyor site kuangalia namna ya kuunganisha umeme huyohuyo asimame kama mkandarasi wa kukagua wiring imefanyikaje kuliko hawa wakandarasi ambao wako zao mtaani wanakupitishia maombi huku hata site yako hawajui ilipoHabari, ndugu mteja.
Kwanza ni vizuri kuelewa wiring haipo kwenye wajibu wa TANESCO, huo niwajibu wako kuhakikisha nyumba yako ina mfumo utakaowezesha TANESCO kukuunganisha na umeme.
Aidha, gharama za kufanya wiring zinatofautiana kwa nyumba moja na nyingine kulingana na ukubwa. Kwa kawaida mkandarasi aliyefanya wiring ndiyo anakupa pia mchoro ambalo ni takwa muhimu.
Pia kwa mteja ambaye Anatumia umeta kwake hahitaji wiring. Hivyo ni vizuri kuchagua mkandarasi kulingana na mahitaji yako na kuelewa dhana ya kuwa na mkandarasi.
Siyo sahihi kila jambo limhusu TANESCO mengine yapo upande wenu Kama wateja.
Asante. ^FL
Habari ndugu mteja,Swali rahisi ni kua mteja anaweza kuingia online akaomba umeme yeye mwenyewe bila kutumia wakala?
Ukitaka wakupe hiyo risiti hutaweza kulipia, tunazolipa ni kusaidiana tu. Kimsingi yule wakala anapaswa kuwa electrical engineer au technician.Ukimaliza kufanya Wiring, ili upate mita ya Tanesco,unatakiwa utumie wakala( Mkandarasi ) ili kuingiza maombi yako kwenye mfumo!
Wizi hawa Wakandarasi au Mawakala wanachaji kiasi chochote cha pesa,hawatoi risiti yoyote kwa mteja! Huu ni wizi na Tanesco wanaelewa kuwa Wakandarasi wanaumiza wananchi lakini hawatoi Muongozo!
Waziri Mkuu anapopendekeza tuwekewe umeme kwa Tzs 27,000 aelewe kuwa hela hizo hata kumlipa mkandarasi tu zinafika mpakaTzs 80,000!
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Nchi gani mfano? 😅😅Nilishangaa hili jambo sana ni wizi tu ule mbona Nchi zingine hakuna huu ujinga aisee..
Zambia utamfata mtu agonge muhuri ili uwekewe umeme tena wanachukua hela nyingi tu..Nchi gani mfano? 😅😅
Habari ndugu mteja,Mimi nadhani ili kuondoa hii kero inabidi baada ya wiring mteja atume maombi TANESCO halafu anapokuja surveyor site kuangalia namna ya kuunganisha umeme huyohuyo asimame kama mkandarasi wa kukagua wiring imefanyikaje kuliko hawa wakandarasi ambao wako zao mtaani wanakupitishia maombi huku hata site yako hawajui ilipo
Hiki kitu mnakijua sana kwamba hao mnaowaita wakandarasi sio wanaofanya hizo wiring bali ni wajanja wajanja tu waliofungua viofisi vyao kwa ajili ya kupitisha maombi tu
Mkuu nchi nyingine hakuna nini? Iko hivi wiring unatakiwa kufanyiwa na electrical engineer aliesajiliwa. Hizo nchi unazosema hakuna si kweli ila wewe umekutq nyumba ishajemgwa na hayo mambo yamefanyika.Nilishangaa hili jambo sana ni wizi tu ule mbona Nchi zingine hakuna huu ujinga aisee..
Wabongo wanapenda kulalamika na kulaumu tu. Ikifuatwa sheria nyumba nyingi hazitakidhi viwango ni basi tu tunasaidiana.kimsingi mkandarasi (huyo uliyemlipa) anatakiwa afike home kwako akague wiring yote iliyofanywa na 'fundi', kisha atie mhuri/saini pale chini
Mkuu kwenye kutafuta maisha vinchi vya Malawi na Zambia kujenga sio big ishu unaamua kujenga au kununua nyumba ndogo ili kupunguza makali ya kodi hivyo vitu havipo na nimefanya mwenyewe Tanzania nalipia muhuri wa Engineer wakati hata hao Tanesco wanajua wiring haijafanywa na yeye na hao vishoka wapo na ofisi zao zipo karibu na Tanesco...Mkuu nchi nyingine hakuna nini? Iko hivi wiring unatakiwa kufanyiwa na electrical engineer aliesajiliwa. Hizo nchi unazosema hakuna si kweli ila wewe umekutq nyumba ishajemgwa na hayo mambo yamefanyika.
Sasa wengi nyumba zao wanajenga kienyeji ndio mtu anaambiwa lete mchoro wa wiring engineer anaupasisha kwa taaluma yake unafungiwa umeme. Engineer anachaji hela yake ndio hio watu wanalalamika.