Labda gharama za engineer kuja kufanya wiring ziwe za kizalendi zaidi ili kuvutia wateja wengi ,wakapata faida nyingi au
Na pengine gharama za kufanyiwa wiring zikaungwanishwa kwenye meter ya LUKU , ili mteja apunguze deni kidogo kidogo
Sema hii kitu ya kuunganisha kila kitu na meter ya LUKU ninamasha nayo,