Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

goba alikamatwa mmoja akataja mpaka wanapouza....kilichompata hatosahau maisha yake yote.....inauma sana...alitobolewa jicho 1, mikono yote vipande.....polisi wakabe....wakasema tuachieni kukamalizane na mnunuzi...... 😡 😡
 
Mimi mnamo tar 18/04/2021 juzi kati hapa kidogo niwe muhanga. Nilisafiri nikaacha gari aina discovery 4 nyumbani Mbezi beach, naishi na kijana mmoja wa kimalawi kanipigia simu saa 8 usiku wameingia vijana wa3 dogo kapambana nao wakakimbia ikabidi dogo alale kwenye gari wakarudi tena saa 10 aisee huu Wizi umerudi tena Vyombo Vya ulinzi inabidi vichukue hatua haraka tulishasahau haya mambo kitambo sana
 
Hauna gari wanakikao kufanya nini kwako??
 
Nipe tender mkuu nikuletee walinzi.
 
Ikawaje mkuu.
 
Nikikushika lazima uliwe kiboga, nitakodi hata watu wakushughulikie, ujinga huu!!!
 
Itungwe Sheria baada ya vibaka kuiba vifaa kwenye hizo IST mbili?
 
Kuna jamaa jiran na IST yake ilikuwa tegemeo kwenye mishe za hapa na pale za familia yake, hayo mapopo yameruka gate na kusafisha kila kitu, Gari imebaki skeleton! Hao si watu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…