Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

Eeeh eeh pale lumumba wote wale ni majambazi, walishaniibia logo ya gari kwenye ule mfuniko wa engine, mfuniko wa windshield siku nimeenda kuweka tint
Tena usijedhubutu kusema unaishi wapi? Watakufatilia hadi home usiku wanakutenda. Ukienda kwa fundi yeyote hasa usiowajua..usitaje unaishi wapi!
 
Tena usijedhubutu kusema unaishi wapi? Watakufatilia hafi home usiku wanakutenda. Ukienda kwa fundi yeyote hasa usiowajua..usitaje unaishi wapi!
Wee hivi ni serious hivo?
 
Ndo tabia ya binadamu. Hana shukrani wala wema. Hajui anachokitaka. Mlimponda hana sifa kuwa RC, hana elimu, vyeti fake. Mkamwita daud bashite. Lakini wachache walimwona ni msaada. Leo mnamkumbuka!
Huyo anayemkumbuka nae atakua fa fa fa fa bashitez
 
 
Dah hatari sana hii, fugeni mbwa ni mlinzi mzuri sana.

Huku kwetu hata ulaze nje hakuna uwalifu, mara kama 4 nomesahau gari nje ya geti
 
Mtazamo mziri, bwana Mtazamo. Here in Kenya huwa kuna trail ya paperwork kwa part sellers. This is not strictly enforced lakini. U can sell a car part from home if u got a ready buyer (online), but police huwa wanademand a receipt when they encounter anyone carrying a car part. Theft kama hiyo huhappen here too, mitaa za kipuzi. Mahali security iko low. So as a car owner you choose where you can live and also park your car. Sometimes you have to pay parking boys to ensure that parts are not stolen and also that no other motorists gongas your car.
 
Njia pekee ya kukomesha vitendo vya wizi ktk mitaa au maeneo mbalimbali ktk Mkoa wa DSM ni

1. Kukomesha vijiwe vya wavuta bangi ktk mitaa/ maeneo mbali mbali amabayo kila sehemu yanafahamika hakuna hata haja ya kupeleleza.

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Viongozi wa serikali za mitaa wanaweza kabisa kufichua maeneo hayo na kuya angamiza, kwani hayo ndio mazalia ya majambazi na magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…