Akichangia katika mjadala wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, Mbunge wa jimbo la Mlinga, Godwin Kunambi amependekeza Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira.
Kunambi, ambaye pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amesema “nchi iliyobaki inateua wakurugenzi (local government directors) ni Tanzania peke yake”
Amesema katika nchi nyingine kama vile Afrika Kusini, ni lazima watu wa cheo hicho wanapitia mchakato wa ajira.
Nchini Tanzania, kwa mujibu wa sheria, Wakurugenzi wa halmashauri za mamlaka ya serikali za mitaa wanateuliwa na Rais.
Kunambi amesema kama taifa Watanzania inabili wabadidi fikra.

Yaani nchi hii mnaenda hatua moja mbele mnarudi mbili nyuma. Alianza kuharibu yulee na wakawa wanampigia makofi, na sasa wameona mziki wake. Mambo hayaendi

Hata mkuu wa majeshi kwa mujibu wa sheria anateuliwa na rais, lakini siamini kama rais anaweza kukubaliwa kumteua koplo kuwa mkuu wa majeshi.
Kinachofanyika kwa sasa ni sawa na kumteua koplo kuwa mkuu wa majeshi, na utaratibu uliozoeleka ambao ilikuwa kumpandisha daraja mmoja wa wakuu wa idara ulikuja kuvurugwa na kikwete.
Kabla ya kikwete wakuu wa idara (hasa maofisa mipango/wachumi) ndio walikuwa na nafasi kubwa kuwa wakurugenzi.
Leo mtu hana uzoefu wa kazi hata miaka miwili unampa ukurugenzi, what do you expect!