Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Shida mi CCM haitaki hiyo kitu Mkurugenzi akiwa mtumishi wa umma by credentials na asiwe mwanasiasa, matokeo ya uchaguzi yatachakachuliwaje?
Akichangia katika mjadala wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, Mbunge wa jimbo la Mlinga, Godwin Kunambi amependekeza Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira.
Kunambi, ambaye pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amesema “nchi iliyobaki inateua wakurugenzi (local government directors) ni Tanzania peke yake”
Amesema katika nchi nyingine kama vile Afrika Kusini, ni lazima watu wa cheo hicho wanapitia mchakato wa ajira.
Nchini Tanzania, kwa mujibu wa sheria, Wakurugenzi wa halmashauri za mamlaka ya serikali za mitaa wanateuliwa na Rais.
Kunambi amesema kama taifa Watanzania inabili wabadidi fikra.
Tanzania tumechelewa sana, Sijui hata Dunia inatuonaje?! 🤔🤔🤔Akichangia katika mjadala wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, Mbunge wa jimbo la Mlinga, Godwin Kunambi amependekeza Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira.
Kunambi, ambaye pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amesema “nchi iliyobaki inateua wakurugenzi (local government directors) ni Tanzania peke yake”
Amesema katika nchi nyingine kama vile Afrika Kusini, ni lazima watu wa cheo hicho wanapitia mchakato wa ajira.
Nchini Tanzania, kwa mujibu wa sheria, Wakurugenzi wa halmashauri za mamlaka ya serikali za mitaa wanateuliwa na Rais.
Kunambi amesema kama taifa Watanzania inabili wabadidi fikra.
Hata na wabunge pia waajiriwe kwa uwezo wa elimu na si siasa
Hamna nchi duniani ina mpanmtu wadhifa yet kuajiri kwa kusoma na kuandika. Ni TZ Pekee tuKwa kweli kusema Eti ajue kusoma na kuandika pia imebaki Tanzania peke yake. 🤔🤔
Unaweza kuzani kama kusadikika kumbe ni uhalisia .
Mbunge minimum awe graduate ambae hajaungaunga.
Mwanzoni ndo ilikua hivyo hata kama walikua wanateuliwa na rais but walikua wanatoka ndani ya local govt...Magufuli ndo alianza kuteua wanasiasa waliokosa ubunge.Kabisa tena tungepata watu bora sn
Hilo kundi la wawakilishi waondoe, hao kwa TZ siyo sehemu ya wananchi na hawapo kwa maslahi ya wananchi, japo hutumia wananchi kwa kuwahadaa kana kwamba wapo kwa ajili ya wananchi, ila ukweli hawapo kwa ajili ya wananchi. Kama mbunge anashinda ubunge kwa tamko la Rais na hakuna anayehoji hapo mbunge anawajibika kwa wananchi au kwa Rais?Hapa tatizo hatizo halitakuwa ni CCM bali wananchi.
Wananchi pamoja na wawakilishi wao wanapaswa kujitambua na kuweka masala yao na vizazi vya Taifa hili mbele kwa kuweka misingi bora na mifumo bora ya uendeshaji na ufanyajinkazi.
Kuna kadada kalikuwa muuza "vitumbua maarufu" leo ni mkurugenzi mitaa flani.... hopeless stateHata mkuu wa majeshi kwa mujibu wa sheria anateuliwa na rais, lakini siamini kama rais anaweza kukubaliwa kumteua koplo kuwa mkuu wa majeshi.
Kinachofanyika kwa sasa ni sawa na kumteua koplo kuwa mkuu wa majeshi, na utaratibu uliozoeleka ambao ilikuwa kumpandisha daraja mmoja wa wakuu wa idara ulikuja kuvurugwa na kikwete.
Kabla ya kikwete wakuu wa idara (hasa maofisa mipango/wachumi) ndio walikuwa na nafasi kubwa kuwa wakurugenzi.
Leo mtu hana uzoefu wa kazi hata miaka miwili unampa ukurugenzi, what do you expect!
Huyu marehemu kaharibu sn system ya nchiMwanzoni ndo ilikua hivyo hata kama walikua wanateuliwa na rais but walikua wanatoka ndani ya local govt...Magufuli ndo alianza kuteua wanasiasa waliokosa ubunge.
Mwingine alikuwa barmade Arusha maza akamteua kuwa DC, aibu kubwa snKuna kadada kalikuwa muuza "vitumbua maarufu" leo ni mkurugenzi mitaa flani.... hopeless state
SanaHuyu marehemu kaharibu sn system ya nchi
SanaHuyu marehemu kaharibu sn system ya nchi
Hatari snSana
Poa poa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Huyu si ndo alibebwa na Magufuli kule Mlimba? Mbona anafoka?
Umevurugwa. Siyo bure. Hebu tutajie huyo mtangulizi wa Kikwete aliyekuwa anatumbuatumbua hovyo ili kuwaweka ndugu zake wasio na sifa.Ukisema aliyevuruga ni Kikwete unamuonea bure. Aliyevuruga ni mtangulizi wake kwa zile tumbua tumbua zake na kuanza kuweka wateule wasiokuwa na sifa
Poapoa tumekusikia. Unazungumziaje hoja yake?Huyu ndiye alichaguliwa kuwa Ded Dom kutoka ccm na kupandishwa kuwa Jiji
Hovyo kabisa kijana huyu