Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

Jana nilisikia mchambizi wa uchumi akisema ukisema unapeleka mzigo Dar tuu wanaongeza bei sbb ua ucheleweshaji wa upakuzi.

Nani anaongeza Bei na Bei za CBM zinajulikana [emoji28][emoji28]

Wabongo [emoji119][emoji119]
 
Kila siku nikipita maeneo ya central police nakuta msururu wa trucks za IT na hapa hapa nyumbani. Huwa zinashushwa na gari moshi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Barabara ya Kimara jumatano/Alhamis imejaa kontena zinakuwa zimeletwa Kwa Ungo
 
Nani anaongeza Bei na Bei za CBM zinajulikana [emoji28][emoji28]

Wabongo [emoji119][emoji119]
Kuna mtu alihojowa akajibu kuwa kutoka na gharama za bandari za Dar kuwa juu ukiongea na na msafirishajo anapamdisha bei.Alikuwa mchambuzi wa uchumi na Inflation inayoendelea sasa.
 
Kuna mtu alihojowa akajibu kuwa kutoka na gharama za bandari za Dar kuwa juu ukiongea na na msafirishajo anapamdisha bei.Alikuwa mchambuzi wa uchumi na Inflation inayoendelea sasa.

Kama unafanya biashara utakuwa unaelewa vyema,
CBM tunalipia kila siku hizi hizo tu,
Mabadiliko yalitokea almost dunia nzima miezi ya nyuma wakisema ni gharama za usafirishaji zimeongezeka na haina uhusiano na Tanzania

Kama siyo mfanyabiashara wa kuimport mizigo utaamini CBM zilipandishwa Bei TZ tu..
 
Mimi sifanyi biashara hizo za kuagiza vitu mpendwa, mimi ni mkulima tuu, nasoma na kuangalia taarifa ya habari tuu.
 
Rais Samia hongera hakuna kurundika meli gatini efficiency Iko asilimia 70 big up dry docs Iko sawa
 
Back
Top Bottom