Kwasasa bandari imebadilika cjui tatizo ila ukipita maeneo ya bandari upande wa TICTS Kuna sintofahamu inaendelea
Inasemekana mkataba wa TICTS na TPA unaisha mwez wa Tisa hivyo TICTS anaogopa kuleta meli kubwa ambayo itamchukua muda hushushs na pia hiyo mizigo ni ya wateja hivyo atakuwa hajamaliza kutoa mizigo ya watu huku mkataba umeisha
Pia ukitembelea eneo la ndani la TICTS ambae yeye ndo amechukua gati nyingi yaani
Gati namba 8,9,10,11 hizi zote ambazo kimsingi huweka meli 3 kubwa
Pili ndani ya eneo la Bandari Kuna sehemu kubwa inafanyiwa marekebisho hivyo labda sehemu ya kuweka makasha yaani Contena Bado ni finyu.