Mwenyewe umefurahi kisa humpendi mama YetuMama anafungua nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe umefurahi kisa humpendi mama YetuMama anafungua nchi
Huyu mama mpaka akiondoka 2025 au 2030, moja ya jambo kubwa la kijamii atakalolifanikisha kwa 100% ni kuwageuza haters wake wote kuwa wanawake......yaani kwa hali haters wote lazima wabadilike jinsia na kuwa 'ke' maana si kwa kuwapelekesha huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo nalo nendeni mkalitizame
Unadhani bandari ni kama stand ya daladala kwamba kila mda kuna meli?Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
Hao ndo kianzio cha kipimo hivyo wataendelea kubaki hivyo.....ni kama vile tunaposema 'kutoka usawa wa bahari' tunapopima altitude“ haters wake“ walio tayari wanawake atawageuza kuwa nini?
Rudi ndugu yangu kapige picha si hapo tu karibu.Kuna lidude limetia Nanga sio Muda,
Ningeuona huu uzi mapema ningelipiga picha
Kelele za nini? wacha watu wale kwa urefu wa kamba zao!! ''KAZI IENDELEE".Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
Hilo nalo nendeni mkalitizame
Kumbe wewe wa bandarini? Karibu chamani.Kuna lidude limetia Nanga sio Muda,
Ningeuona huu uzi mapema ningelipiga picha