Hivi wizara ya fedha na uchumi/siku hizi kuna biashara na uchumi na hao uchukuzi /au uwekezaji wameshawahi kukaa pamoja kama team na kuangalia na kulinganisha ufanisi wa bandari.
Kuna tetesi za rais wa Rwanda kudai kwamba Tanzania inaweza kujiendesha kwa bandari tu.yaani makodi yote yasiwepo lakini bandari tu inaendesha nchi?
Pili hata hayati alikuwa ana amini hilo utajiri wa kodi Tanzania upo bandarini?
Vijiweni kunasemw hivyo ,hizo wizara wameshawHi kutathimini namna ya kuboresha mazingira haya ya ushindani?
Mimi ni mdau wa kodi na mara nyingi nafuatilia,nimewahi kusikia majirani zetu wamepata ubia mkubwa kwenye kampuni kubwa ya meli hapa africa mashariki na kuwashawishi wafanyabiashara wa nchi jirani kama wanataka kusafirisha mizigo basi waende kule.meli haibebi mizigo kuanzia dar.hili nalo limewafanya wanaotoa mizigo kuañza kufanya hivyo.sasa meli nyingi huona ni hasara aje ashushe aondoke mtupu(hizi kauli nimewHi ziona humu)kuna taasisi ndani ya nchi inafuatilia hili.
Kile chuo cha degree ya kijeshi arusha kina mengi ya kufundisha vijana wetu.