Jana nilisikia mchambizi wa uchumi akisema ukisema unapeleka mzigo Dar tuu wanaongeza bei sbb ua ucheleweshaji wa upakuzi.
Kila siku nikipita maeneo ya central police nakuta msururu wa trucks za IT na hapa hapa nyumbani. Huwa zinashushwa na gari moshi?
Kuna mtu alihojowa akajibu kuwa kutoka na gharama za bandari za Dar kuwa juu ukiongea na na msafirishajo anapamdisha bei.Alikuwa mchambuzi wa uchumi na Inflation inayoendelea sasa.Nani anaongeza Bei na Bei za CBM zinajulikana [emoji28][emoji28]
Wabongo [emoji119][emoji119]
Kwa kipindi ambacho mizigo inawahi n8 hichi...
Mzigo ulikua unakaa hapo bandarini hata wiki3
Kuna mtu alihojowa akajibu kuwa kutoka na gharama za bandari za Dar kuwa juu ukiongea na na msafirishajo anapamdisha bei.Alikuwa mchambuzi wa uchumi na Inflation inayoendelea sasa.
Mimi sifanyi biashara hizo za kuagiza vitu mpendwa, mimi ni mkulima tuu, nasoma na kuangalia taarifa ya habari tuu.Kama unafanya biashara utakuwa unaelewa vyema,
CBM tunalipia kila siku hizi hizo tu,
Mabadiliko yalitokea almost dunia nzima miezi ya nyuma wakisema ni gharama za usafirishaji zimeongezeka na haina uhusiano na Tanzania
Kama siyo mfanyabiashara wa kuimport mizigo utaamini CBM zilipandishwa Bei TZ tu..
Tupe picha, sisi wa Ulindwanoni Kaliua hatuoni hapoWakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
Unatumia shiping campany gani?Shida imehamia Zanzibar
Mizigo inakaa bandarini mpaka basi