Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani,
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi shina hilo.
Kunani CCM mbona Chaguzi za matawi
zimepamba moto kiasi hiki,Je huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania!?
Sote tunafahamu chama chochote cha Siasa msingi wake mkubwa ni kujijenga kwenye grassroots,
Je? Hili linatafsiri uimara wa kiwango cha juu wa Chama cha Mapinduzi?