Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Mchambawima wameshachagua?
Vyama vyote hivi lazima vitafutika tu kwa kasi hii ya CCM,
tutakosa misaada ya mabeberu2
vitabaki kama jumuia za Chama cha Mapinduzi kama UWT na UV CCM
Wapinzani (soma CHADEMA, au/na wengine ambao bado hawajajitokeza) washindwe tu wenyewe safari hii.Sote tunafahamu chama chochote cha Siasa msingi wake mkubwa ni kujijenga kwenye grassroots,
Je? Hili linatafsiri uimara wa kiwango cha juu wa Chama cha Mapinduzi?
Tumejenga shule na matundu mengi ya choo kwa pesa ya uviko..uko hapo!Upuuzi tu mishahara hakuna. Nauli zimepanda, royo tua imedoda. Mna lipi jengine mnaloweza kutudanganya, sensa au postikadi??
Nyie ujanja wenu upo wapi?!MaCCM WAJINGA SANA!
Woga tu ccm inaogopwa sana upinzani
Mnajifaragua KWA kuwa mme wapiga stop wasifanye siasa
Wakikujibu naomba nitag.tunawaogopa
tumewastopisha wasifanye siasa nao wamestop kweli
mie sikuwahi kujua kuwa unaweza ukampiga biti mtu unaemuogopa nae akanywea
View attachment 2207457
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani,
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi shina hilo.
View attachment 2207446
Kunani CCM mbona Chaguzi za matawi
zimepamba moto kiasi hiki,Je huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania!?
View attachment 2207449
Sote tunafahamu chama chochote cha Siasa msingi wake mkubwa ni kujijenga kwenye grassroots,
Je? Hili linatafsiri uimara wa kiwango cha juu wa Chama cha Mapinduzi?
View attachment 2207430
View attachment 2207432
tunawaogopa
tumewastopisha wasifanye siasa nao wamestop kweli
mie sikuwahi kujua kuwa unaweza ukampiga biti mtu unaemuogopa nae akanywea
Daaah, Wewe jamaa ni tatizo sana huko kwenuWamezuiwa na ccm au na vyombo vya dola?
Sema sijui sio hatujuiWala hata hatujuia kama kuna uchaguzi wa ccm, labda wazee na watu waliopoteza ramani.
Sema sijui sio hatujui