Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

CHAMA CCM, CHAMA CHA WANACHAMA
 
Shaka ni mtu muhimu sana kwa Taifa hili,
 
Mtaani kwetu hatuna Mjumbe.

Aliyekuwepo amegoma kuchukua form.
Kisa wananchi hawana Imani na CCM na serikali yake .
 
kazi yakuingiaga saluni mnafutwa usoni tu sio zuri ukiweza wambie kote wavuruge ...kazi yakuwaga mweupe usoni tu mambogani haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…