Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Mchaga yeye yupo multiple,sio tu kwenye elimu Bali kila idara yupo hii ndio tofauti yake na mhaya
Wachaga wanamiliki kampuni za ndege wakati wahaya wamebaki wakifunga MAYENU na kusoma magazeti
 
Hakuna kushikana jamani,na maneno makali hayatakiwa naendelea kuchuja. Kumbe elimu mhaya yuko juu! Ndio mana kuna maprofesa wengi sana toka BK
UCHAGANI kuna maprofesa hadi kero
tena katika sekta nyeti hasa engineering, accountancy, Medical doctors , artchtecture n.k (nenda mhimbili University au ardhi ushuhudie)
 
Mchagga anamzidi Mhaya utapeli, wizi na ulevi, otherwise mchaga bado ana safari ndefu
Kwa kitu gani mlichonacho.

Wanawake wanaoua waume au Ile miguu ya spoku[emoji23]


Wahaya sifa Yao kuu ni kujisikia hawezi muonea mtu yeyote wivu kamwe

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Nyie wanawake wenu wanaowaloga waume zao kwa dawa aina ya SHUNTAMA mmewasahau?
Mhaya kumfikia mchaga kimaendeleo,kielimu Ni miaka 800 ijayo
 
Hii mkuu nakubaliana nayo,vip maendeleo uhayani huko mana sijafika ila nilipitaga Moshi tu
Kilimanjaro Ni mkoa wa pili watu wake kuwa na maisha bora kwa 90% ,kagera ni mkoa wa 9 kwa umaskini
Kwa mujibu wa ripoti ya serikali
 
Nishawaambia uchaggani zaidi ya ulevi hamna jipya watu tumetembea huko tumeona
Kuna video nimeiona YouTube kuonesha wahaya walifua vyumba miaka zaidi ya 200 kabla ya kristu Hadi mzungu anashangaa akili hizi
Mbona mkoa wenu kagera Ni wa 9 kwa umaskini ? Sisi hatuna maneno mengi tunaenda kwa data tu
Mmekalia maneno mengi kumbe maskini wakutupwa
 
Wachaga sio tu wanapanda ndege,Bali wanamiliki ndege
Hii ndio tofauti yetu ma don na nyie wenye vijihela vya RUBISI
 
@instanbul njoo kuna ujumbe wako hapa
 
uhayani na uchagani ni copy and paste kuanzia mazingira, mazao, ukabila, hali ya hewa.

Pia wengi wa kabila hizo ni madoni, hivo wanataka waoneshane nani zaidi
 
Haya mambo pelekeni Kenya, Tanzania sisi sote ni ndugu
 
Kwa sisi tuliochanganya uhaya na uchaga tunasimama wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…