Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Mimi sitokei uru, fanya mpango uje sinza nikupeleke kwenye madanguro ya wahaya

Ukiachana na umalaya kazi yao nyingine ni kusambaza mayai
Buguruni,Temeke wapo sana sema bei zao chee mno sijui watatoka lin kimaisha
 
Mimi sitokei uru, fanya mpango uje sinza nikupeleke kwenye madanguro ya wahaya

Ukiachana na umalaya kazi yao nyingine ni kusambaza mayai
Basi hujajitambua.

Nenda kapime
images%20(9).jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
fact ni kwamba wahayani kabila dogo...linganisha vyuoni mliposoma....wana bidii na majivuno wapatapo wana uzalendo-wakwao mfano lugha bk mjini na sokoni ni kihaya kila mahala...mengine siyajui sana ila huwezzi kufananisha kilimanjaro nakagera kwa ujumla au uchache...hata uwanja na stand na hospitali za kilimanjaro miaka ya tisini ni bora na nzuri kuliko kagera... hawa wachaga ni kabilakubwa ambalo uchafu na mabaya yanazidi kudilute ule ubora wao wa zamani..hata lugha nikama kiswahili tu imebaki lafudhi na misamiati baadhi ya kichaga.... zile familia bora na imara kifedha waliotoboa nazo enzi za uhujumu uchumi nyingi zimejisahau na kuishi kwa majina na historia..familia changa na zilizobezwa zinapambana sana kutoka na ndio wengi kwa hio zinaleta changamoto ya maendeleo kwa ujumla...
 
Eti wahaya ni kabila dogo?X[emoji848][emoji848]

Hebu soma hiyo report

Halafu ukapimwe ugonjwa
Screenshot_20201220-130344.jpg
images%20(9).jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona movie ya mapigano ya KIHAYA,, imetafsiriwa kwa kihaya,kidhungu na kiswahili. Bukoba stand ya mabasi utadhani nimwlipia kituo kidogo huko marangu.
 
Nimeona movie ya mapigano ya KIHAYA,, imetafsiriwa kwa kihaya,kidhungu na kiswahili. Bukoba stand ya mabasi utadhani nimwlipia kituo kidogo huko marangu.
Bila Shaka unalala stendi.

Hiv kuna mtu binafsi au kabila walishajenga stendi bongo hii.

Anyway soon stendi ya bukoba itahamishiwa hapa. Sijui utasema nini tena
FB_IMG_16073431900780233.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi mimi siyo mhaya wala mchaga ila nimeona nyuzi nyingi sana wanakosoana na kutaniana. Jambo la kushangaza zaidi hata kama uzi unahusu mambo mengine akitangulia mhaya kutoa maoni yake ujue lazima mchaga aje kukosoa, mchaga akisema hivi mhaya atakuja kupinga.

Mimi nauliza naomba kujua hasa mabishano haya yanatokea sana mwisho wa mwaka

Boss REDEEMER. luambo makiadi najua nyie mtakuwa wachaga kwanini mnakosoa sana wahaya kuliko makabila mengine?
Wazee wa Katerero instanbul na @Greet haya kwanini hamuoni makabila mengine kama sisi wazaramo mtutanie? Tatizo ni elimu, maendeleo au ni watani wa jadi? Na huo utani umeanza lini?

Ufafanuzi tafadhali, mimi ni mwamuzi
Wachaga wanaona wivu hawana wowowo ila wamebarikiwa kuwa na matikiti kifuani
 
Abiashano aya ni sawa na Iarael na Palestina hayaisha mpaka Yesu arudi kwenye sifa na tabia mbaya sichangii ila kielimu hatuachani mbali na kutamaduni pia,mazingira ila kwa maendeleo ya pamoja Wachaga wako mbali kwa maendeleo ya mmoja mmoja Wahaya tuko mbali kwa ujumla sisi ni marafiki tangia Mkoloni.[emoji7]
 
Ligi ya muhaya na mchaga hia naopenda sana hawachelewi kuleta picha za vijiji vyao huku wakilingishiana
 
Hawa Ni watani.

Wakati zamani utani ulianzishwa kwa Vita vya kugombea ardhi na wanyama. Hawa utani wao umechochewa na social networks. Nothing more.
 
Back
Top Bottom