Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Kuna mhaya alikodi hotel ghorofa moja kwa miezi miwili akafanya aliyofanya ile hotel akachukulia mkopo
Mwenye hotel alikuja kustuka kitu inapigwa mnada [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app

Utawekaje dhamana ya ghorofa bila kupeleka nyaraka za umiliki wa jengo/ardhi (let say Title deed) kwa anayekukopesha!???

Mods anzisheni jukwaa la watoto,, hasa hasa kipindi hiki cha likizo
 
Utawekaje dhamana ya ghorofa bila kupeleka nyaraka za umiliki wa jengo/ardhi (let say Title deed) kwa anayekukopesha!???

Mods anzisheni jukwaa la watoto,, hasa hasa kipindi hiki cha likizo
Toka usingizin amka ukojoe......ulitaka nianze kusimulia ilivokua? We Ni sawa na Tecno phantom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakuna maprofesa wengi kama wahaya wachaga hamna kitu

Wachaga wengi waliosoma ni mambo ya fedha uhasibu na uchumi wanapenda maeneo ya wizi wizi
Hilo halina mpinzani.

Kuna ripoti niliona kuwa Kati ya wahaya 6 mmoja ana degree.

Hata idadi ya madocta wa shule na wale wa hospital, huko kwenye Sheria ndo husisema kama ilizaliwa bukoba.

Bado waalimu wakawaida Tu huko ndo balaa.

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi mimi siyo mhaya wala mchaga ila nimeona nyuzi nyingi sana wanakosoana na kutaniana. Jambo la kushangaza zaidi hata kama uzi unahusu mambo mengine akitangulia mhaya kutoa maoni yake ujue lazima mchaga aje kukosoa, mchaga akisema hivi mhaya atakuja kupinga.

Mimi nauliza naomba kujua hasa mabishano haya yanatokea sana mwisho wa mwaka

Boss REDEEMER. luambo makiadi najua nyie mtakuwa wachaga kwanini mnakosoa sana wahaya kuliko makabila mengine?
Wazee wa Katerero instanbul na @Greet haya kwanini hamuoni makabila mengine kama sisi wazaramo mtutanie? Tatizo ni elimu, maendeleo au ni watani wa jadi? Na huo utani umeanza lini?

Ufafanuzi tafadhali, mimi ni mwamuzi
Wahaya waseme shida iko wap
6ea15ae28ebeee051dcb8aaa698ada199a8735fb.jpg
 
Wahya wajiapange, wanapopita sasa hivi, wachaga walishapita miaka 30 iliyopita, bora hata wakinga ambao wachaga wa hali ya chini wanapambana nao huko kariakoo, wachaga sasa hivi ni kufungua viwanda tuu, mashamba ya miti, investments zinazosubiria return ya billions of money we shifted from whole & retail sale to manufacturing and consultancy services
Mmeanza kujisifia visivyokuwepo.

Bado hujawafahamu wahaya vzr
Watu Wana mpaka university zao refer kairuki university na cosad hospital kule bukoba.

Njoo kwa mesuma hotel na hotel kibao posta.

Njoo makampuni ya biotech ya mfuruki
Njoo kwenye mafuta ya kupikia ya mukwano

Kuna wafanyabiashara wakubwa wengi Tu wa kihaya inawezekana hata hao wakinga hawana lolote

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Mmeanza kujisifia visivyokuwepo.

Bado hujawafahamu wahaya vzr
Watu Wana mpaka university zao refer kairuki university na cosad hospital kule bukoba.

Njoo kwa mesuma hotel na hotel kibao posta.

Njoo makampuni ya biotech ya mfuruki
Njoo kwenye mafuta ya kupikia ya mukwano

Kuna wafanyabiashara wakubwa wengi Tu wa kihaya inawezekana hata hao wakinga hawana lolote

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ninawafahamu vizuri sana, hata huyo wa mesuma ninamjua vizuri sana, huwezi kumuita 100 % mhaya, anayerun si yule demu millen kwa sasa, wanaheshabika wengi wanaishia kusoma sana na utapeli
 
Back
Top Bottom