Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Kabisa mkuu. Ila utani wa wahayana wachaga ni wa kistaarabu maana wote ni fighter wakubwa kimaisha
🤣🤣👏👏👏Ni kweli tofauti yao ndogo sana, kuna mhaya nilikua nakaa nyumba 1 yeye alikuwa hajapata kazi bado lakini lifestyle yake unaeza sema ni bilionea au kigogo flani hivi...muda wote moka inapigwa kiwi matambo sana,sa sijui alipopata kaz alikuwaje
 
Baada ya utapeli na wizi kuthibitiwa siku hizi Wachaga wanalialia eti serikali inawaonea [emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona kwenye utapeli wachaga hawako? Tapeli ni Wahaya na ndiyo Nija wetu Tz. Wezi wa kichaga mbona walistaafu muda mrefu sana baada ya kuwa billionaire? Japo siyo wezi kihivyo maaana kesi kubwa za wizi hasa mabenki hatukuwasikia. Hata mijizi na mifisadi ya mali hasa awamu ya 5 hakuna wachagga. Wangekuwepo tungesikia maana awamu hii na damu ya kichagga ni Incompatible. Ni wivu tu
 
Ila tuseme ukweli kuna janja janja nyingi za Wachaga zimethibitiwa ndo maana mnaona kama serikali inawaonea
 
Yap utani au mijadala kama hii sometimes tunaweza kuitumia kama chachu ya kuzidi kusonga mbele kama powerful tribes hapa Tz
Sure kuna makabila ambayo ukweli hata serikali ijivunie. Nayo ni Wachagga, Wahaya, Wasukuma na Wanyakyusa. Ukweli tuseme hata kwa akili wako vizuri. Maeneo nyeti ya kutumia brain utawakuta kibao. Kwa kuanzia tu Mahospital Drs na Vyuoni yaani great brains.
 
Mbona kwenye utapeli wachaga hawako? Tapeli ni Wahaya na ndiyo Nija wetu Tz. Wezi wa kichaga mbona walistaafu muda mrefu sana baada ya kuwa billionaire? Japo siyo wezi kihivyo maaana kesi kubwa za wizi hasa mabenki hatukuwasikia. Hata mijizi na mifisadi ya mali hasa awamu ya 5 hakuna wachagga. Wangekuwepo tungesikia maana awamu hii na damu ya kichagga ni Incompatible. Ni wivu tu
Wachaga usingeweza kuwasikia kwa awamu ya 5 ya mafisad nk kwa sababu huko kwenye vitengo vikubwa wachaga hawana wadhifa Ni nyoka tu wa chin chin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Rugemalira na mama wa mil 10 za mboga si wa BK?
 
Tanzania hakuna maprofesa wengi kama wahaya wachaga hamna kitu

Wachaga wengi waliosoma ni mambo ya fedha uhasibu na uchumi wanapenda maeneo ya wizi wizi
Si kweli vyuo vikuu vyote tena Kongwe kama UDSM, SUA, Muhimbili utajionea. Shida yao huwa hawajioneshi. Wachagga wana maintain low profile sana. Yaani wamejaa Tele huko
 
Wahya wajiapange, wanapopita sasa hivi, wachaga walishapita miaka 30 iliyopita, bora hata wakinga ambao wachaga wa hali ya chini wanapambana nao huko kariakoo, wachaga sasa hivi ni kufungua viwanda tuu, mashamba ya miti, investments zinazosubiria return ya billions of money we shifted from whole & retail sale to manufacturing and consultancy services
 
Sijafika Bukoba ilanasikia moja ya sifa za miji ya Mbeya, Bukoba ba Moshi inafanana fananakwa uoto na madhara zingine, pengine tabia za wakazi nazo zinafanana so wanakuwa na kutaka kuzidiana design kama ilivyo hulka ya binadamu walio wengi!!
Asante mkuu
 
Wachaga usingeweza kuwasikia kwa awamu ya 5 ya mafisad nk kwa sababu huko kwenye vitengo vikubwa wachaga hawana wadhifa Ni nyoka tu wa chin chin

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure vita yao ilianzia awamu ya 4 ambayo ilikuwapia na mrengo fulani sitautaja. Mikakati ilikuwakuwaondoa wachagga na awamu ya 5 ikasafisha. Wachagga wako busy sana muda huu kuimarisha biashara zao wakati mkiwa mnatumbuana kila siku. I tell you Hawa jamaa Wachagga plan zao huwa si za kitoto.
 
Tanzania hakuna maprofesa wengi kama wahaya wachaga hamna kitu

Wachaga wengi waliosoma ni mambo ya fedha uhasibu na uchumi wanapenda maeneo ya wizi wizi
Huo wingi wa maprofesa umefaisha nini bukoba? Au ndio sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom