Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nenda TRC kaulize kama kuna nafasi ya treni kesho, nenda ubungo fanya hivyo. Tiketi za ndege Dar Kilimanjaro mpaka tar 4 ndio zitakuepo
Magari yenu yako wap?
Hebu tazama ndiga hiz vijana wadogo Tu wakihaya wanaenda nazo bukoba

Yaan watu wawe na hela wapande treni na vidaladala za gomz[emoji1787]

Mngejua wahaya wanavyowashangaa na kuwanderate na mmbwembww zenu mgetulia tu
Screenshot_20201227-151318.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Nenda posta utajua nachosema hapa
99.9% hii ni kweli tena wanapenda sana kukaa maeneo ya mabenki,au ndani kabisa wanajifanya hawajui kiswahili vizuri. Kujichanganya tu
 
Mission town number moja ni Haya. Mihuri, headed papers, tax clearance yaani you name all. Sema siku hizi na mambo ya advanced technology mission town nyingi zimefia mbali maana mambo mengi computerized systems. Wakati wa kila kitu manual mambo yote ni Salamander vishoka Hayas[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu mshika bunduki ni nani??
 
Elimu ya Mission Town. Wahaya na zile briefcase zao enzi hizo unakuta zimebeba kila aina ya mhuri na headed papers. Yaani briefcase office a.k.a Movable office. Hapo amaulamba suti na kiatu kikali kila baada ya muda lazima apite shoe shine.

Na business meeting anakuja na VX kali la kukodi. Mazima mtu unaingia kingi ukija kuhamaki umeshatapeliwa. IQ kubwa sana hii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
matapeli hawa, kwenye begi hukosi brush ya viatu
 
We jamaa mpu.uzi kweli, yani umeanzisha thread ukijidai hauna upande unaoegemea alafu sasa hivi tumegundua kumbe we Muhaya. Fa.ala kweli
Tulia wewe na mawenge usome kwanza mbona hata wahaya amewasema
 
Hii bora inatumia akili kuliko bunduki aisee
Kweli Wahaya kwenye bunduki hawako japo wako .pakani zinakopatikana kirahisi. Wao ni brains kimetumika na wanakuwa nadhifu hatari. Yaani jioni akiwa anarudi na briefcase lake lenye vifaa muhimu mission town huwa hapandi daladala. Enxi za Mark II balloon mtanielewa. Taxi bubu hilo lina A.C. jamaa anatimba home kama Katibu Mtendaji ofisi fulani nyeti 🤣🤣🤣.

Wachagga enzi hizo walikuwa ndiyo mastermind wa matukio na akishakuwa billuonaire anaacha. Siku hizi walishastaafu kazi za bunduki ndiyo maana huwasikii tena kwenye matukuo kabisa.
 
We jamaa mpu.uzi kweli, yani umeanzisha thread ukijidai hauna upande unaoegemea alafu sasa hivi tumegundua kumbe we Muhaya. Fa.ala kweli
Mi mwamuzi ila naongea kile kilichopo mitaani. Mchaga kwa hela yuko tayari kwa lolote
 
Kweli Wahaya kwenye bunduki hawako japo wako .pakani zinakopatikana kirahisi. Wao ni brains kimetumika na wanakuwa nadhifu hatari. Yaani jioni akiwa anarudi na briefcase lake lenye vifaa muhimu mission town huwa hapandi daladala. Enxi za Mark II balloon mtanielewa. Taxi bubu hilo lina A.C. jamaa anatimba home kama Katibu Mtendaji ofisi fulani nyeti [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Wachagga enzi hizo walikuwa ndiyo mastermind wa matukio na akishakuwa billuonaire anaacha. Siku hizi walishastaafu kazi za bunduki ndiyo maana huwasikii tena kwenye matukuo kabisa.
Baada ya utapeli na wizi kuthibitiwa siku hizi Wachaga wanalialia eti serikali inawaonea [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kweli Wahaya kwenye bunduki hawako japo wako .pakani zinakopatikana kirahisi. Wao ni brains kimetumika na wanakuwa nadhifu hatari. Yaani jioni akiwa anarudi na briefcase lake lenye vifaa muhimu mission town huwa hapandi daladala. Enxi za Mark II balloon mtanielewa. Taxi bubu hilo lina A.C. jamaa anatimba home kama Katibu Mtendaji ofisi fulani nyeti [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Wachagga enzi hizo walikuwa ndiyo mastermind wa matukio na akishakuwa billuonaire anaacha. Siku hizi walishastaafu kazi za bunduki ndiyo maana huwasikii tena kwenye matukuo kabisa.
Mhaya brains ndo kila kitu
Afu akizipata aisee hawezi panda public yyte
Tofauti na mchaga akipata shiling Bora atembee kwa mguu ile sh ifike salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwamuzi ila naongea kile kilichopo mitaani. Mchaga kwa hela yuko tayari kwa lolote
Pesa sabuni ya roho aisee. Yaani ukiwa nayo hata ngozi ya mamba inakuwa nyororo kama konokono. Uzee unakimbia kabisa.
 
Back
Top Bottom