instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Lakini Bora uwe nao kuliko kutokuwa nao kabisa.Huo wingi wa maprofesa umefaisha nini bukoba? Au ndio sifa za kijinga
Halafu bukoba sio sehemu ya kubeza kiasi hicho
Ipo inaendelea kimya kimya.
Mfano professor mmoja ameamasisha kujengwa university matata Sana bk ujenzi unaendelea.
Bukoba ni mji unaojitosheleza kwa kila kitu hakuna utakachotafuta ukakikosa Hadi mall
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app