Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Eti eh[emoji23][emoji23]

Mchaga gan huyo anatetea watanzania?
 
Ajui kitu mpuuze huyu
 
Hahaha acha fiksi mkoa kuwa ktk uchumi mzuri wanaangalia vigezo vya watu ktk nyanja zifuatazo
Huduma za jamii
Life expectancy
Per capita income
Makazi Bora
Infant rate nk
Kagera hivyo vitu vipo low ndio maana ni mkoa wa 9 kwa umaskini as now
Mimi nadhani labda kuna agenda ya Siri ya kuhudhorotesha mkoa wa Kagera ambayo hatuijui. Mfano Pwani watu Wana maisha magumu Sana sema unabebwa na Dar es salaam.

N.B Aisee nimetembelea mikoa kama Dodoma, Tabora, Shinyanga, Manyara n.k maisha ni duni muno huko lakini cha kushangaza eti kwenye lipoti, hiyo mikoa inaonekana kuwa na maendeleo.

Tukitoa mijini, kwa vijijini mikoa yenye maendeleo ni Kilimanjaro, Kagera, Mbeya kwingine huko hali ni tete zaidi.
 
Subiri biharamulo na ngara ziunganishwe mkoa wa chato ndo kagera kitakwimu itakaa pazuri Sana.

Hakuna mkoa uliojengeka vijijini Kama kagera nchi hii
 
Subiri biharamulo na ngara ziunganishwe mkoa wa chato ndo kagera kitakwimu itakaa pazuri Sana.

Hakuna mkoa uliojengeka vijijini Kama kagera nchi hii
Kumbe hadi watoe bimulo na ngara ndio unawza ku compete na Mimi Kilimanjaro?[emoji3][emoji3]
Kilimanjaro despite same na mwanga lakini bdo naendelea ku maintain namba mbili kwa maisha Bora,makazi Bora kwa 90% kila mwaka,je na mm nikiondoa same na mwanga si nitkuwa NEWYORK?
kagera ni MWANAFUNZI tu kwa Kilimanjaro[emoji3][emoji3]
 
Aah wapi. Nyie wenyewe wabinafsi kwa wenyewe. Mtu akishatusua basi hataki mwingine atusue. Hili mnajulikana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sasa hata kijiografia hujui bk kubwa kuliko moshi? Ndo maana mji unaweza panuka. Kilimanjaro ardhi yake ni ndogo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ukoo wetu maprofesa wako zaidi ya 10. Na wengine wamedundisha hapo UDSM. Ndo maana nachekaaa[emoji23] eti 21. Daah. Kuna mpaka maprof wa macho mujimbili. Na hao ni hawa niliozoeana nao tu. Waachage masikhara. Muache urongoo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hao ni simba na yanga Wala usiwaingilie. Ukitaka kujua mchaga na mhaya ni ndugu gusa maslahi yao ya pamoja
 
Mganga?

Huko bukoba hao sio waganga Bali ni madaktari wa dawa za asili za ukoo ndo maana dawa za kihaya zinatafutwa sana
Kwenye suala la miti shamba respect sana kwenu aiseee. Mko vyema sana..na zinasaidia haga huku aisee ingawa sijawahi tumia ila naona mitaa kibao zinauzwa na waliotumia wanazisifu.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Yaan kwa pwani nami nimetafakari sana. Kuna kaya ni masikini achaaaa. Achaa kbs. Sijui imeingiaje
Ila wanajishughulisha sana na kilimo pia ndo maana. Kumbuka wanalima sana matunda na mboga mboga kama nanasi, tikiti, mihogo etc, kuna viwanda vingi naona pia vinahamia huko. Kuna utalii pia. Maybe sielewi oia

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kilimanjaro mkoa ni Kama wilaya ya muleba tu kwa kagera[emoji23][emoji23]

Ndo maana nasema kagera imejenngeka zaidi. Wilaya hiz za misenyi, muleba, bukoba vijijini,na karagwe ni sawa na Kilimanjaro tatu
 
Imejengeka wapi mkuu[emoji23]

Kuwa kubwa zaidi ndo sababu ya kujengeka? Unaijua mipangilio ya kilimanjaro kuanzia mjini mpaka vijijini na miundo mbinu yake? Sini wewe unekiri hapa kimiundombinu mumezidiwa weee?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…