Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Lakini kwanini nyinyi hamna viwanda? Pambaneni na nyinyi muwe na vyenu[emoji23][emoji23] ila hiyo price gap siyo kubwa. Ila wamiliki wa hivi viwanda katika ubia sisi sindo asilimia kubwa bwashee? Sisi mbona tumeanza jenga miaka mingi sana. Kuna ex wangu nilionaga nyumbani kwao nilichoka. Watu wameishi mpk uk wana exposure toka 80s huko lakinj kwao nyumba ya tope tena vibanda. Tusisingizie utamaduni kwa kweli[emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana.

Ulitapeliwa Nini wew manka [emoji23]
Matapeli kweli nyie[emoji23][emoji23] sema tunawaonava washamba tu. Kuishi kimdananda. Udange upate hela ya kununua heinkein ni akili ama tope huku unavimba una hela ama kujitosheleza umevaa umependezaaa kumbe unadanga mwanaume mzima[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ukiishi visiwani utatongozwa na huo weupe wako wa kichaga Hadi kero.

Wavuvu na ngono ni kitu kimoja.
 
Mtoto wa baba njoo nikumeri tukaishi kisiwani.
 
Kilimanjaro mkoa ni Kama wilaya ya muleba tu kwa kagera[emoji23][emoji23]


Ndo maana nasema kagera imejenngeka zaidi. Wilaya hiz za misenyi, muleba, bukoba vijijini,na karagwe ni sawa na Kilimanjaro tatu
Ukubwa au udogo sio hoja ndugu,tena nyie wenye ukubwa ndo mngetakiwa kutuzidi sisi wadogo maana mna rasilimali kubwa i.e ardhi
Sisi mngetupatia huo mkoa wa kagera ukaja Kilimanjaro hakika ingekuwa NEWYORK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…