Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Kuna video nimeiona YouTube kuonesha wahaya walifua vyumba miaka zaidi ya 200 kabla ya kristu Hadi mzungu anashangaa akili hizi
 
Siku izi naona mmepunguza kujisifia,kwanin mmekuwa matapeli sana kwa sasa? Au ndio vyuma kukaza?
Jifunze kujiajiri badala kutegemea ajira serikalini
Watu unaosema vyuma vimekaza[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndege zinazidiwa na abiria. Na wala hakuna utalii wowote bk mi ndugu Tu wanatembeleana.


Ila sasa wachaga hapo Tu moshi watu wanapanda daladala za buza na gomz[emoji23][emoji23]


NB nauli ya bus ya bukoba=nauli ya ndege moshi
 
kwa maendeleo yapi anbayo mchaga kamzidi muhaya? au kwa elimu ipi?
Elimu ya Mission Town. Wahaya na zile briefcase zao enzi hizo unakuta zimebeba kila aina ya mhuri na headed papers. Yaani briefcase office a.k.a Movable office. Hapo amaulamba suti na kiatu kikali kila baada ya muda lazima apite shoe shine.

Na business meeting anakuja na VX kali la kukodi. Mazima mtu unaingia kingi ukija kuhamaki umeshatapeliwa. IQ kubwa sana hii. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Iyo elimu imewapa nini? Kujidai? Kwa hiyo walienda kusoma ili waje kutapeli watu?
Aya kama mmesoma sana mmefanyia nini kwenu ? Kunanuka umasikini sana. Ndio mana hampapendi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mkibosho katapeliwa posta juzi .kila siku anatapeliwa na ruta mmoja[emoji23]

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Hii bora inatumia akili kuliko bunduki aisee
 
🤣🤣🤣 Nenda TRC kaulize kama kuna nafasi ya treni kesho, nenda ubungo fanya hivyo. Tiketi za ndege Dar Kilimanjaro mpaka tar 4 ndio zitakuepo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata mtoto aliyezaliwa leo anajua kwamba tapeli namba moja ni mchagga
Mission town number moja ni Haya. Mihuri, headed papers, tax clearance yaani you name all. Sema siku hizi na mambo ya advanced technology mission town nyingi zimefia mbali maana mambo mengi computerized systems. Wakati wa kila kitu manual mambo yote ni Salamander vishoka Hayas🤣🤣🤣
 
Iyo elimu imewapa nini? Kujidai? Kwa hiyo walienda kusoma ili waje kutapeli watu?
Aya kama mmesoma sana mmefanyia nini kwenu ? Kunanuka umasikini sana. Ndio mana hampapendi
[emoji3][emoji3][emoji3] umepanic, yaani hatupendi kweli???! Ni hizi safari za ndege zinapeleka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…