Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

๐Ÿ˜๐Ÿ˜furahia maisha hata kama ni magumu ndugu yangu.

Ukifuatilia Gemini โ™Š๏ธ
Inasemekana % kubwa tu napenda kuwa na furaha..
 
Simjui smart lakini inaonekana ni mkaka mmoja mstaarabu mno[emoji4][emoji4].

Sipendagi watu wastaarabu kama smart waumizwe ujue[emoji41]
Mimi niliposoma ile stori nilijaribu kuvaa viatu vya kaka[emoji22]

Hasira ilinibana nikatamani nimpige huyo mwanamke jamani[emoji35]

Ila jamaa ana kapo mpya[emoji7],binti fureshi mrembo .. Mungu awasaidie wafike mbali
 
Watu hawana muda wa kutibu majeraha..ya ni kikitoka chombo kinaingia chombo hakuna muda wa kupoteza kabisa

S nae asije kuleta matangazo kama ya aliyepita..wajuba wakaanza kuingia kazini
 
Watu hawana muda wa kutibu majeraha..ya ni kikitoka chombo kinaingia chombo hakuna muda wa kupoteza kabisa

S nae asije kuleta matangazo kama ya aliyepita..wajuba wakaanza kuingia kazini
Eti kikitoka chombo kinaingia chombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Eti wajuba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Mniombee namm ...
ni kijana safi ila hujuma za hapa na pale zinarudisha status "single"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ