Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
😁😁furahia maisha hata kama ni magumu ndugu yangu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]
Siku moja nilikuwa karibu na club usiku kucha,,aisee ule mtiririko wa nyimbo ni bandia bandua [emoji119]hakuna kupumzika.
Ila wewe dada ni comedian [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifuatilia Gemini ♊️
Inasemekana % kubwa tu napenda kuwa na furaha..