Kama kuna kuzaliwa basi na kufa kupo.tuendelee na mjadala mama keshajitangazia mapema kutaka kugombea uraisi 2025
Sehemu gani hapo mbona waliondoa inamaana walirudishaChini nimeangalia kwenye list ya walio soma uzi na yeye yupo
😂😂😂[mention]Mshana Jr [/mention] yeye wapenzi wake alikua anawafundisha fani ya uganga, walipojua wote wakamkimbia
[emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke mkuu mzee wetu alijitahidi kufundisha wapenzi wake jinsi ya kuagua, kufanya matambiko lakini wakaondoka hamna jema nyie sijui mkoje
Ila wewe najua unafahamu A-Z maana ulihusika kwenye kuuliza maswali kwenye uzi wa mahondaw
Hajasikikie ngoja nikusaidie kumuita
🤣🤣🤣 Hatari sanaYaani walifanya kumzunguka walipojua wakamshawishi aache uganga, akakubali na wateja wote akawaachia wapenzi wake heee kuja kushtuka mzee wetu anaona bora arudi zake kuendelea na fani yake usimwamini mwanamke , unaona delila aliyomfanyia samsoni, eva aliyomfanyia adam ni balaa
wewe na demiss nini kiliwapata mkuu?Enzi zangu na ..dah..[emoji23]....!