kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauriMahusiano yanayojengwa juu ya misingi ya tamaa, uzinzi na uasherati huwa hayadumu kamwe.
Tamaa za mwili zikisharidhishwa huwa zina kawaida ya kuhamia kwa mwingine. Kwa mfano :
Ukimtamani mwanamke mwenye makalio makubwa, ukimpata na kulala naye, ile hamu huwa inaisha na ukimwona mwanamke mwingine mwenye makalio makubwa zaidi ya huyu uliyenaye, tamaa yako itahamia kwake.
Vivyo hivyo na wanawake, ukianzisha mahusiano na mwanaume sababu ya pesa, siku ukikutana na mwanaume mwingine mwenye kukuhonga pesa nyingi zaidi, tamaa yako yote itahamia kwake na kumsahau huyo uliyenaye.
Hivyo ndivyo mfumo wa uzinzi na uasherati unavyoendeshwa. Msingi au nguzo kuu ya uzinzi na uasherati ni tamaa. Tamaa ya mwili kwa wanaume na tamaa ya pesa kwa wanawake.
Ndiyo maana mnaambiwa ikimbieni zinaa. Tena maandiko yanasema, tamaa ya pesa au kupenda sana pesa ndiyo shina la maovu yote.
Mwenye masikio na asikie.
Usikute ww jamaa ni mume wa huyo mahandow ama jamaa yake ndio mnafanya investigation.....Shukurani kwa marejeo ngoja nipitie
Sasa tangu lini shikio likazidi kichwaKumbe mlicheza na mambo ya target
Kwahyo mjeda alivo Rudi ndio mahusiano yakafa, nimpe pole smart kwa [emoji3590] brokenJamaa alikuwa analishwa mbususu ya mke wa mjeda alie mission huko Kati
Ana bahati Sana mjeda angekujua angefumua ubongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wanawake ni hatari[emoji1787][emoji1787]
Hapana kwa maelezo ya mahondaw alisema mume wake halisi hayupo JF wala haifahamu JF.Usikute ww jamaa ni mume wa huyo mahandow ama jamaa yake ndio mnafanya investigation.....
manake naona hii issue ipo too personal
Kwa hiyo huku jf kulikuwa na mchepuko?Hapana kwa maelezo ya mahondaw alisema mume wake halisi hayupo JF wala haifahamu JF.
Mimi nafanya hayo sababu waliweka wazi mahusiano ila kwa sasa kimya kimya
Aisee!Mbona waliachana kitambo baada ya fumanizi mkuu?
Smart alikuwa anamwaga hela kwa Mahonda kama njugu, kumbe bibie anaruka vijoti nje. hukuona mpaka uzi ulianzishwa hapa?
Huo ndio ukweli sasa.. Mimi walinikimbia baada ya kuona majoka makubwa usikuKweli hakuna
[emoji23][emoji23][mention]Mshana Jr [/mention] yeye wapenzi wake alikua anawafundisha fani ya uganga, walipojua wote wakamkimbia
Noma sanaMpe pole kubwa kabisa
JF kuna mengi uhalisia unaweza kugeuzwa geuzwa
Mkuu nakutafuta, naomba tuwasiliane.Aisee,.
Wanawake si mmeamua kutuendesha. SawaInawaumaa basi
Zamu yetu sasaWanawake si mmeamua kutuendesha. Sawa