johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio huyo amestaafu sasa!Nguvu ipi unaiongelea hapa maana MBowe amekuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 20. Nguvu gani unaiongelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huyo amestaafu sasa!Nguvu ipi unaiongelea hapa maana MBowe amekuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 20. Nguvu gani unaiongelea?
Lini ametangaza kustafu?Ndio huyo amestaafu sasa!
Wewe uko Chadema ipi usiyejua Taarifa muhimu?!Lini ametangaza kustafu?
Sasa mzee unaniuliza tena mimi. Wewe umesema Mbowe amestafu ndio nakutaka ulete uthibitisho.Wewe uko Chadema ipi usiyejua Taarifa muhimu?!
Uthibitisho muone J J Mnyika hapo Ufipa st Kinondoni ShambaSasa mzee unaniuliza tena mimi. Wewe umesema Mbowe amestafu ndio nakutaka ulete uthibitisho.
Huna uthitisho wewe; unaendeshwa na mihemkoUthibitisho muone J J Mnyika hapo Ufipa st Kinondoni Shamba
Tulia bwasheee hutaki shemeji mbelgiji? [emoji3] [emoji3]Watanzania mna ushamba mwingi sana kama Mzee Meko wa Kipigo Cha Dunia!
Kukiss na mmewe wa mtu, ni utamaduni wa kibelgiji?
ile picha anadendeka na mshangazi wa majuu.Kuna picha inatrend analibusu jimama la kizungu, ndio maana alikuwa anajizungusha hataki kurudi anasingizia usalama
Na yule mwenzako kule naye kaamzisha uzi wa kwa nini Mbowe hajaenda kumpokea Lissu uwanja wa Taifa!!Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.
Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
Hivi tukiamua kuja kupekenyua na yale ya kwenu, kuna mtu atabaki salama kweli? Au kwa sababu mambo yenu mnafanyia gizani, basi mnajiona mna haki ya kunyooshea vidole wengine!View attachment 2495459
Jimama la kizungu
Usilie mkuu, huyo ndio first lady mpya, jimama la kizungu, ndio maana Lissu aling'an'gania ulayaHivi tukiamua kuja kupekenyua na yale ya kwenu, kuna mtu atabaki salama kweli? Au kwa sababu mambo yenu mnafanyia gizani, basi mnajiona mna haki ya kunyooshea vidole wengine!
Mgombea urais huyu 😁View attachment 2495459
Jimama la kizungu
Wabongo wape tu picha. Maelezo ya hiyo picha watajazia wenyewe.Usilie mkuu, huyo ndio first lady mpya, jimama la kizungu, ndio maana Lissu aling'an'gania ulaya
Watoto raia wa marekani, Sasa tumeletewa mke mmarekaniWabongo wape tu picha. Maelezo ya hiyo picha watajazia wenyewe.
Usikute huyo mzungu alikuwa ndiyo mlezi wake huko Ubelgiji! Ila kwa sababu wameagana kwa style hiyo, basi Bongo ni story.
Anatafuta permanent permit so lazima hiyo hatua apite.Kwa hiyo mwamba ashamtema mkewe aliyemuhudumia kipindi chote cha maswahiba yaliyomkuta. DAH