Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

Hela zimeishia kwa kumbakiza mayele
Kabla ya kulazimisha Yanga wafanye usajili ungetuambia kwanza Timu ina mapungufu eneo gani. Timu imechukua ubingwa msimu uliopita na bado haijaondokewa na wachezaji wengi muhimu lakini mnalazimisha ifanye usajili wa fasheni. Kwa asilimia 90 Wana Yanga tunalizika na kikosi.
 
Sioni sababu ya Yanga kufanya sajili nyingi. Kikosi cha Yanga wanaoanza first eleven ni mtiti, walioko nje nao ni mtiti… Sasa unaowasajili wanakuja kufanya nn[emoji23][emoji23][emoji23]. Mchezaji aliyeondoka na alikua kidogo anaanza ni Kisinda, Labda kama kuna pengo kaliacha hapo nitaona umuhim wa kusajili…
 
Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?

View attachment 2681024
Unateseka ukiwa wapi Kijana wa Rage? Kwani dirisha la usajili limeshafungwa? Halafu mbona Yanga itasajili wachezaji wachache sana!

Maana haibomoi kikosi chote kama mnavyofanya nyinyi Makolo kwa msimu wa tatu huu mfululizo.
 
Yanga wanaboresha kikosi hao unawaona wanasjili na kutanga ujio wa wachezaji wapya wanajenga timu mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…