Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

Yanga inajua fika kutokana na moto wa Azam na Simba msimu unaokuja haiwezi kupata mafanikio juu yao, pia inajua haiwezi kufikia mafanikio kama iliyoyapata kindondokela msimu uliopita. NDIO MAANA INAONA HERI IPIGE BLABLA KTK USAJILI
 
Sio kweli
 
Nini sasa kinachowafanya kunywea katika kusajili tofauti na wenzao Azam na Simba
Yanga wanajua wafanyacho
Kwanza wametafuta kocha
Pili wamezindua jezi
Tatu watatangaza benchi la ufundi
Nne watatangaza wachezaji
Kwq hiyo subira ni muhimu
 
Mchawi ni hela tu bwashe,ila wameshasajili kuna Kibabage na wengine sijui watawazoa kina nani maana wana faida ya milioni miatano msimu huu.
 
Raisi alisema
Msimu huu mambo kimya kimya
Kwanzia juma 3 vyuma vinashuka
Huyo Rais wenu si ndiyo alikuwa anajitapa anaenda front mwenyewe kusajili, mbona safari hii yupo hapa hapa hadi anaporwa wachezaji airport?
 
IMG_3763.jpg
 
Back
Top Bottom