Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Umeeleza vizuri, Ila kwa nini wana akili ndogo sana? Vyuoni napo hufundishwa wawe na akili ndogo?
 
Maafisa utumishi HR

Wakifuatiwa na polisi huku ndio vilaza waliko jikita.

Sidhani Kama Kuna afisa utumishi anayeweka kumbukumbu. Kila mwaka lazima waombe barua ya kuajiriwa, barua ya kudhibitishwa kazini, barua ya kupandishwa cheo, CHETI CHA FOMFOO, vyeti vingine vyote, jina na umri.

Watumishi wenzangu Kama Kuna ambaye hajaombwa hivyo vitu kila mwaka anyooshe mkono nimtumie vocha.
 
Walimu masikini....Akina Kisandu Nalimison...

Ni wengi sana hivyo pengine siyo rahisi kuwapa mishahara mikubwa kwenye nchi kama yetu iliyojaa ufisadi. Na kwa vile kazi yao haihusishi ulaji wa rushwa wa moja kwa moja kama hao wa kada zingine basi wanaonekana wana maslahi duni...

Lakini hawa watu ndiyo injini ya taifa na wanastahili heshima yote tunayoweza kuwapa. Kila mtu amepita kwao....

Ingekuwa vizuri tunapowasimanga hivi basi tutoe na njia za jinsi wanavyopaswa kujikwamua hata kama ni kuichagiza serikali iwape kipaumbele. Hii siyo kada ya kubezwa!
 
[emoji3516][emoji3516]
 
Hao wote uliowataja wana akili sana. Huwezi linganisha na kundi la walimu
 
Tatizo kwa nini wengi ni wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…