Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Siasa za kizamani hizo, mbona wana CCM wanao mpinga mama hawaja hamia CCJ? Siasa zilizo pitwa na wakati kabisa
 
Chaganya na zako
 
Attachments

  • IMG_4986.jpeg
    IMG_4986.jpeg
    124.3 KB · Views: 2
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mweleke
asante kwa taarifa kidali ya lissu,utoe sasa hiyo mimba kama inamchukia mwenye mimba
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
mwelekeo upi, na wakati Jemedari Lissu ndio kwanzaaa kaingia ofisini juzi. Subirini watoke "kujifungia" waje na agenda motomoto! The end of satanic regime is very near!!! fisadi jipange.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Hivi Upendo Peneza aliteuliwa???
Maana alikuja kwa kasi ila saizi yupo kimya.
What has gone wrong
 
mbadqla wa Chadema sio CCM. Ni bora wabaki kuwa wanaharakati maana wanaenda kuishi walichokuwa wanakipinga kisa kiongozi mpya.

Hiki pia ni chanzo cha umqsikini kufanya siasa kama chanzo cha mapato.
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Waende tu, chadema ni taasisi na haiwezi kutishwa na hao wahamiaji haramu
 
Hakkuna mmtu mwenye akili anayeweza kuhamia CCM. Hao wanaohamia CCM ni wale waliopungukiwa. Hivyo, kama ni kweli wacha waende, kuondoka kwao kutaleta athari chanya. Wacha punguani na wanafiki wote wajazane CCM.
 
Waje tu CCM.Lakini nahisi Chadema watapata maingizo mapya zaidi ya mara 10
 
Back
Top Bottom