Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hata hawa wengine pia ni watu wa fursa. Wote wanapambania fursa. Wakiondoka hao wengine ndio fursa kwa wengine. Mtu akisema yeye hafuati fursa ni muongo.Watu wote waliokuwa wanamuunga mkono Mbowe ni watu wa fursa tu sio wapigania chama,
Hata hivyo wamejificha kwa muda mrefu sana Upinzani wakidai kuwa wao ni wapinzani kumbe ni CCM,
Kiongozi wao ni Mbowe na yeye aende huko CCM kwani amekuwa anajifanya mpinzani kumbe anayake tu.