Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

Watu wote waliokuwa wanamuunga mkono Mbowe ni watu wa fursa tu sio wapigania chama,

Hata hivyo wamejificha kwa muda mrefu sana Upinzani wakidai kuwa wao ni wapinzani kumbe ni CCM,

Kiongozi wao ni Mbowe na yeye aende huko CCM kwani amekuwa anajifanya mpinzani kumbe anayake tu.
Hata hawa wengine pia ni watu wa fursa. Wote wanapambania fursa. Wakiondoka hao wengine ndio fursa kwa wengine. Mtu akisema yeye hafuati fursa ni muongo.
 
Lazima utambue team mbowe wote ni CCM na wala rushwa mafisadi wakubwa hawawez kuelewana kabisa na lisu ambaye amenyooka kama rula,waende wapunguze jama chama kitabaki na wananchii sio mafisi.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kuongozwa na kundi linalotetea haki faragha ( mashoga na wasagaji).
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Waende tu ni haki yao kumfuata mfadhili wao,kama ni kweli usemayo basi wanadhirisha zile tuhuma za kuhongwa na Abdul
 
Kuwa mwanachama wa upande wowote ni haki ya mtu.

Hivyo wahame tu chaguo ni lao.
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
safari njema... Kumbe gari linaweza kukosa au kupoteza mwelekeo hata kabla ya kuanza kuendeshwa?.
 
Mbona wafuasi mnahangaika, hii imeshaisha. Mpeni TAL nafasi basi, mmemkalia kooni.
Wanaoondoka waondoke, wahakikishe wanafunga mlango.
 
Risasi za Lisu zinatosha!wao wamepigwa risasi!!?

Kati ya samiah na matobo ya risasi utachagua nini!!?hats kama wewe ni mwanaccm kama mimi utachagua nini!?kati ya mtanganyika alietobolewa na Risasi na Mama muuza bandari utachagua nani!!?
 
Back
Top Bottom