Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

Wakwende huko, hata wale virusi 19 nao njia nyeupe kuhamia huko. CHADEMA ina watu wengi makini na wengi watakiunga mkono katika siasa zao. Hao wanaohamia ccm ni team mbowe iliyoshindwa. wacha wakaanze maisha mapya ya kisiasa huko
Team lissu mtaweza kuendesha chadema? Naona hivi sasa legelege kuliko.hata wakati wa mbowe
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Wahamie haraka sana, na wakikosa kadi huko ccm waende hata chama cha CCP cha China.
 
Vichekesho vya kipumbavu, uongozi wa Lissu hauna hata mwezi, ni mwelekeo gani huo wanazungumzia? Wakihama watakuwa wamemsaidia sana Lissu na chama chake cha CHADEMA.
Inashangaza sana kwakweli yani hata kazi hajaanza rasmi unasema chama kimekosa mwelekeo

Hao ni watu ambao walikuwa wafuasi wa FAM
 
Hakuna mwenye akili timamu atahamia kwa yule babu msema hovyo.
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Mbowe na magenge yake walishajifukuzisha CDM, hawana madhara yoyote tena.
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Nadhani ndio wale waliotumwa na CCM kwa muda mrefu kuimaliza CHADEMA,Thanks to GOD siasa za kijingajinga LISSU kazimaliza sasa ni siasa za kweli na sio usanii tena kama ule uliokuwa unafanywa na Mbowe.Ngoja tutawaona hiyo tarehe Tano na lzm wawe CHADEMA wa kuchongwa.
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Hili bila shaka itakuwa kundi la Malaria,Mwashambwa,Choicevariable,akin Comte na rafiki zao,ushauri wa bure bakini chama bora zaidi.
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Kundi kubwa la wana CCM wahaha vile watapigishwa kwata na Chadema chini ya Lissu!!
 
Hao wamechelewa wangehama na Msigwa wangekuwa na hoja, sasa hawana la kusema maana wanaonyesha kumpenda mtu kuliko chama.
 
Lazima utambue team mbowe wote ni CCM na wala rushwa mafisadi wakubwa hawawez kuelewana kabisa na lisu ambaye amenyooka kama rula,waende wapunguze jama chama kitabaki na wananchii sio mafisi.
 
Back
Top Bottom